Dkt. Vincent Mashinji ataja sababu za hamahama CHADEMA

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.

Ameyasema hayo mara baada ya kujiuzulu kwa madiwani wawili wa CHADEMA Mkoani Iringa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Ukishakuwa kwenye nchi ambayo inaendekeza rushwa za kisiasa na kusumbua wala rushwa na mara zote mtu akishachukua mlungula ataongea kitu chochote anachokiona, maana hao waliojiuzulu jana wanasema hawaridhishwi na na CHADEMA kinavyojiongoza wao pia ni viongozi.
Sasa mimi nashangaa lakini hapo kikubwa ni rushwa ya kisiasa ndo imewafanya kuondoka, ”amesema Mashinji.

Aidha, Mashinji amesema kuwa sio tu madiwani ambao wanafuatwa na kupewa rushwa bali hata kuna wabunge na viongozi wa juu kabisa ambao wanafuatwa na kushawishiwa kwa kupewa rushwa.
 
Utafiti wao ulihusisha chombo gani?
Hayo ni majibu marahisi kwa swali gumu...kwa nini Chadema inaendelea kuwafuga wala rushwa?
Kwa nini Chadema isifanye zoezi la kujivua gamba ili kuwaondoa wala rushwa?
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.

Ameyasema hayo mara baada ya kujiuzulu kwa madiwani wawili wa Chadema Mkoani Iringa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Ukishakuwa kwenye nchi ambayo inaendekeza rushwa za kisiasa na kusumbua wala rushwa na mara zote mtu akishachukua mlungula ataongea kitu chochote anachokiona, maana hao waliojiuzulu jana wanasema hawaridhishwi na na CHADEMA kinavyojiongoza wao pia ni viongozi, sasa mimi nashangaa lakini hapo kikubwa ni rushwa ya kisiasa ndo imewafanya kuondoka,”amesema Mashinji

Kama wameshindwa kudhibiti rushwa isipenye kwenye chama chao si ajiudhuru, analalamika kama chizi, tumewaambia huo sio utetezi
 
Utafiti wao ulihusisha chombo gani?
Hayo ni majibu marahisi kwa swali gumu...kwa nini Chadema inaendelea kuwafuga wala rushwa?
Kwa nini Chadema isifanye zoezi la kujivua gamba ili kuwaondoa wala rushwa?
pointless...toa sababu
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.

Ameyasema hayo mara baada ya kujiuzulu kwa madiwani wawili wa Chadema Mkoani Iringa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Ukishakuwa kwenye nchi ambayo inaendekeza rushwa za kisiasa na kusumbua wala rushwa na mara zote mtu akishachukua mlungula ataongea kitu chochote anachokiona, maana hao waliojiuzulu jana wanasema hawaridhishwi na na CHADEMA kinavyojiongoza wao pia ni viongozi, sasa mimi nashangaa lakini hapo kikubwa ni rushwa ya kisiasa ndo imewafanya kuondoka,”amesema Mashinji
Aidha, Mashinji amesema kuwa sio tu madiwani ambao wanafuatwa na kupewa rushwa bali hata kuna wabunge na viongozi wa juu kabisa ambao wanafuatwa na kushawishiwa kwa kupewa rushwa.
Kumbe Chadema ina katibu mkuu? Mwambieni Mbowe tunamuheshimu, akitaka kuendelea kuheshimiwa ajaze nafasi ya katibu mkuu ambayo iko wazi kwa muda mrefu sasa.

Huyo Mashinji hamna kitu hapo labda awe katibu wa TLP.
 
CCM inatia aibu sana ! Biashara ya binadamu ni aibu kubwa sana !

Eti huu ndio ubunifu aliokuja nao Polepole !
 
Utafiti wao ulihusisha chombo gani?
Hayo ni majibu marahisi kwa swali gumu...kwa nini Chadema inaendelea kuwafuga wala rushwa?
Kwa nini Chadema isifanye zoezi la kujivua gamba ili kuwaondoa wala rushwa?
2cb252d99a7ce57faba6c30db8f4243e.jpg
 
Utafiti wao ulihusisha chombo gani?
Hayo ni majibu marahisi kwa swali gumu...kwa nini Chadema inaendelea kuwafuga wala rushwa?
Kwa nini Chadema isifanye zoezi la kujivua gamba ili kuwaondoa wala rushwa?
Swali gumu hapo ni lipi? Limeulizwa na nani? Usiwe kasuku
 
Polepole anasema akitaka kuchomoa kiongozi hashindwi! Unamchomoaje kiongozi kwa kiburi tena unakitanguliza kabisa? Ni kipi cha ajabu kitakachosababisha watu kuhama ambacho miaka yote kilikosekana tena ndani ya CCM? Mtu anaacha wadhifa wake ndani ya upinzani tena alioupata kwa jasho na damu hadi wengine wamepoteza kwa sababu yake then aondokeondoke tu kwenda CCM?

Kina Mtulia muda utaongea. Siyo kwa usaliti ule waliouonyesha!
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.
Hilo linajulikana tangu zamani na haliumizi vichwa tena wasionunulika kwa rushwa ndio wale wanaofanyiwa pyuupyuu na wengine kuharibiwa vyanzo vyao vya mapato.
 
Back
Top Bottom