Dkt. Vincent Mashinji ataja sababu za hamahama CHADEMA

Wewe Jacob umekuja kumjulia humu JF,unajua kitu gani,jua watu wa Lumumba wanaokupeleka chooni
Jibu swalo acha kujihami. NDIO SIMJUI ndio maana nimeuliza ameachieve nini mpaka mumpe ukatibu mkii maana kwangu naona akisafiria nyota ya kuwezeshwa na JPM.
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.

Ameyasema hayo mara baada ya kujiuzulu kwa madiwani wawili wa CHADEMA Mkoani Iringa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Ukishakuwa kwenye nchi ambayo inaendekeza rushwa za kisiasa na kusumbua wala rushwa na mara zote mtu akishachukua mlungula ataongea kitu chochote anachokiona, maana hao waliojiuzulu jana wanasema hawaridhishwi na na CHADEMA kinavyojiongoza wao pia ni viongozi.
Sasa mimi nashangaa lakini hapo kikubwa ni rushwa ya kisiasa ndo imewafanya kuondoka, ”amesema Mashinji.

Aidha, Mashinji amesema kuwa sio tu madiwani ambao wanafuatwa na kupewa rushwa bali hata kuna wabunge na viongozi wa juu kabisa ambao wanafuatwa na kushawishiwa kwa kupewa rushwa.
Lowasa,Sumaye, Slaa, Kingunge walipohama vyama vyao walipewa Rushwa.
 
Kama wameshindwa kudhibiti rushwa isipenye kwenye chama chao si ajiudhuru, analalamika kama chizi, tumewaambia huo sio utetezi
Acha ujinga, yaani nyie wanaotoa rushwa mnawapandisha vyeo, halafu mnataka viongozi wa Chadema wajiuzulu kutokana na madiwani kupewa rushwa! Nyie yatengenezeni hayo majini myahifadhi halafu baadaye mtaona madhara yake na siasa zenu hizo za kishamba!
 
Kwa hali halisi ya siasa zilizopo Mbowe arudi kwenye ukatibu mkuu na Uenyekiti akabidhiwe jemedari Tundu Lisu au kwa sababu bado anapigania afya yake kwanza ukatibu mkuu wa Chadema kwa sasa unawatosha watu wa aina ya Meya Boniface Jacob.
Huo ni uchochezi eti kuwaumiza viongozi wa CDM ili wafarakane!!! Jua unaongeza uelewano na mshikamano, waliokutuma Leo ujue tumbo litalala wazi. Pole.
 
Kama wameshindwa kudhibiti rushwa isipenye kwenye chama chao si ajiudhuru, analalamika kama chizi, tumewaambia huo sio utetezi
Madiwani wanahongwa na ccm ! Ccm ndiye mtoa rushwa mkuu Tanzania.
 
Kwa nini wanachama wa chadema wanapokea na kuomba rushwa??
Kila MTU ni binadamu, na usisahau hata Yesu wa bibliani alisulubiwa kwa rushwa ya pesa tena vipande kama alivyopewa Mtulia na huyo wa Siha nk. Ila historia anasema baada ya usaliti kwa hongo ya pesa hawakuishi, ILS Yesu pamoja na kusulubiwa alifufuka na yupo hao had I Leo. Ole wao wasaliti na CDM ni milele Amina.
 
Chadema ni KIFURUSHI cha laana toka kwa Mungu.
 
Madiwani wanahongwa na ccm ! Ccm ndiye mtoa rushwa mkuu Tanzania.
Hii nyimbo itawakost, kama mnaona haya kuwaambia kina Mbowe wameshindwa kuongoza chama shauri yenu.
Pia oneni aina ya viongozi mliokua nao kama Kweli wananunuliwa, hata hivyo wanaiga mwenyekiti, si alinunuliwa na Lowassa?
 
Kutoka moyoni huyu ni Katibu Uchwara,hakuna cha mikakati wala nini.Mbowe aliingia cha kike.

Kula tano mwanangu. Ni kweli ccm inawanunua viongozi wa cdm, hilo halina ubishi. Lakini katibu mkuu wa cdm hata kama hao viongozi wasingenunuliwa na ccm bado ni bomu.
 
Oneni haya, hili la CCM kutoa rushwa liliwezekana wakati ule CCM ilipokuwa na wahongaji wazuri mliowauzia chama!
Kwenda zako huko, nani aache mshahara mzuri na marupurupu ya kutosha ati kisa tu kumuunga mkono mtu mmoja!!! Hivi hujui mshahara wa mbunge wa mwaka daktari wa serikali anaweza fanya kazi miaka 10 ndio aufikie? Ni mjinga gani wa kuibuka ati leo anajiuzuru ubunge wake kisa kuunga mkono juhudi za kutuongezea makato ya 15% ya HESLB?
 
Kwa hali halisi ya siasa zilizopo Mbowe arudi kwenye ukatibu mkuu na Uenyekiti akabidhiwe jemedari Tundu Lisu au kwa sababu bado anapigania afya yake kwanza ukatibu mkuu wa Chadema kwa sasa unawatosha watu wa aina ya Meya Boniface Jacob.

Mkuu Mbowe apumzike kabisa kwani ameshaitumikia cdm vya kutosha na mchango wake unafahamika na wote tunauheshimu. Ila binadamu tuna tabia ya kuchoka ni vyema akapumzika. Hata ukiweka pembeni propaganda za ccm zinazomtaka apumzike, ilikuwa ni sahihi kwake kupisha mtu mwingine kama kweli anaamini kwenye demokrasia ya kweli. Ni aibu Mbowe kukaa kwenye chama zaidi ya miaka 10 akiwa mwenyekiti, kisha ashindwe kujenga taasisi imara bali ajigeuze yeye ndio imara kuliko chama. Leo hii yeye akikaa madarakani muda mrefu, tunapataje nguvu ya kumshambulia mzee wa makati oversize kuongezewa muda wa kukaa madarakani?

CC: thetallest
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.

Ameyasema hayo mara baada ya kujiuzulu kwa madiwani wawili wa CHADEMA Mkoani Iringa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Ukishakuwa kwenye nchi ambayo inaendekeza rushwa za kisiasa na kusumbua wala rushwa na mara zote mtu akishachukua mlungula ataongea kitu chochote anachokiona, maana hao waliojiuzulu jana wanasema hawaridhishwi na na CHADEMA kinavyojiongoza wao pia ni viongozi.
Sasa mimi nashangaa lakini hapo kikubwa ni rushwa ya kisiasa ndo imewafanya kuondoka, ”amesema Mashinji.

Aidha, Mashinji amesema kuwa sio tu madiwani ambao wanafuatwa na kupewa rushwa bali hata kuna wabunge na viongozi wa juu kabisa ambao wanafuatwa na kushawishiwa kwa kupewa rushwa.
Tanzania ina aina mbili za rushwa za kisiasa.
1. Rushwa ya kuhonga kupata nafasi ya kugombea uongozi wa kitaifa. Mtoa rushwa huahidi kuhama chama kwenda chama kingine kwa masharti kuwa wakubaliwe kugombea uongozi kwa ngazi aitakayo na mara nyingi ngazi ya kitaifa. Pia huahidi kuhama na viongozi wa chama atokako ambao huwa nunua yeye kwa gharama zaidi. Kubwa zaidi huahidi kugharamia kampaini zake bila kupitisha fedha na rasilimali zake kwenye chama chake kipya. Hata hukataa kutumia utambulisho wa chama sare za chache. Yeye ni chama ndani ya chama na kwa ukwasi wake hakuna wa kumushawishi au kumlazimisha kutumia sare za cham. Haya yalitokea uchaguzi wa 2015. Yalipokelewa na kutekelezwa na wapinga rusha na ufisadi wa wakati huo
Hii ni grand corruption with grand ramifications.
2. Rushwa ya kuhongwa kuhama chama (Kama ipo) katika ngazi ya udiwani na ubunge. Labda pia tutaiona kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Wanaohama kipindi hiki wanaweza kuwa na sababu mbali mbali zikiwa: fursa za kiuchumi kama kweli wanahongwa; kupungua ushawishi wa kisiasa kwenye vyama wanavyohama na kuhofu kupoteza nafasi zao kwa uchaguzi wa 2020. kwa hiyo wanahamia vyama vyenye ushawishi mkubwa wa kisiasa ili waje Wanagombee nafasi za uongozi; na wengine wanahama kwa kubadilika kwa itikadi.
Katika hizi aina mbili za rushwa za kisiasa ni ipi mbaya zaidi kwa jamii?
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.

Ameyasema hayo mara baada ya kujiuzulu kwa madiwani wawili wa CHADEMA Mkoani Iringa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Ukishakuwa kwenye nchi ambayo inaendekeza rushwa za kisiasa na kusumbua wala rushwa na mara zote mtu akishachukua mlungula ataongea kitu chochote anachokiona, maana hao waliojiuzulu jana wanasema hawaridhishwi na na CHADEMA kinavyojiongoza wao pia ni viongozi.
Sasa mimi nashangaa lakini hapo kikubwa ni rushwa ya kisiasa ndo imewafanya kuondoka, ”amesema Mashinji.

Aidha, Mashinji amesema kuwa sio tu madiwani ambao wanafuatwa na kupewa rushwa bali hata kuna wabunge na viongozi wa juu kabisa ambao wanafuatwa na kushawishiwa kwa kupewa rushwa.
Umeshaanza kumdanganya tayari. Sababu ni madaraja ndani ya viongozi yanayopelekea kudharauliwa, kusingiziwa, kukashifiwa n.k kwa viongozi wanaohama.

Chama cha siasa ni chama cha hiari. Mtu haoni sababu ya kushutumiwa na kudhalilishwa na mtu ambaye wana hadhi sawa
 
tokea umekosa uongozi makao makuu naona kichwa hakiko sawa
 
Back
Top Bottom