Dkt. Vincent Mashinji ataja sababu za hamahama CHADEMA

Dkt. Vincent Mashinji ataja sababu za hamahama CHADEMA

Mashinji nae anasubiri CCM wapande dau atimue zake
Yaani ukimuona magufuli na kikundi chake hutofautishi na shetani nanyang,a utachezeaje fdha za umma kiasi hicho kwa kuuwa demokrasia wakati wanawake bado wanaxalia mitiniau dispesary USAID wakitoa RBF
 
chama kimegeuka saccoss ya mtu binasfi tegemeeni anguko kubwa la chama la sivyo mbowe ajiuzulu kukinusuru chama
 
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.

Ameyasema hayo mara baada ya kujiuzulu kwa madiwani wawili wa CHADEMA Mkoani Iringa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

“Ukishakuwa kwenye nchi ambayo inaendekeza rushwa za kisiasa na kusumbua wala rushwa na mara zote mtu akishachukua mlungula ataongea kitu chochote anachokiona, maana hao waliojiuzulu jana wanasema hawaridhishwi na na CHADEMA kinavyojiongoza wao pia ni viongozi.
Sasa mimi nashangaa lakini hapo kikubwa ni rushwa ya kisiasa ndo imewafanya kuondoka, ”amesema Mashinji.

Aidha, Mashinji amesema kuwa sio tu madiwani ambao wanafuatwa na kupewa rushwa bali hata kuna wabunge na viongozi wa juu kabisa ambao wanafuatwa na kushawishiwa kwa kupewa rushwa.

Siku zote ukitaka kubomoa nyumba ya mtu kwa mikono yako unaangalia uimara au udhaifu wa nyumba yenyewe. CCM wameshaiangalia CHADEMA wakaona imejaa nyufa nyingi sana na ni rahisi kubomoka kwa kusukwasukwa tu. Yote yanayotokea ndani ya vyama vya siasa inashiria:

1. Udhaifu mkubwa wa kiuongozi ndani ya vyama vya upinzani
2. Viongozi i.e wabunge madiwani kutokuwa pamoja
3. Kama kweli CCM wanatoa rushwa ya fedha ili kununua viongozi wa vyama vya upinzani kwa nini hawakatai na kuweka hadharani
 
Huo ndiyo upoyoyo... Hoja si kuhama chama kimoja kwenda kingine??? Yule akihama sawa... Huyu akihama ni fala??? Hapa ndipo utajiuliza ni nini maana ya [HASHTAG]#ulofa[/HASHTAG] [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Acha kutetea wenye njaa, kukataa kwenu hakuubadili ukweli kuwa wahamaji wamehama kwa sababu ya njaa na hamuwezi badili ukweli kuwa Nyalandu hana njaa. Njaa mbaya sana
 
nikweli but chini ya katibu mkuu huyu na luwasa chadema imekuwa hovyo imeua misingi yake ya awali imekuwa nakazi yakusafisha mafisadi waliowachafua wenyewe.
[emoji15] Luwasa chadema ndo nini?
 
Nyie vijana Lumumba ropokeni tu maana mliambiwa kwa siasa zimehamia mitandaoni lakini mwisho Wa ubaya ni aibu,mnachukua kodi zetu kuwahonga watu binafsi,Mungu anawaona
 
Utafiti wao ulihusisha chombo gani?
Hayo ni majibu marahisi kwa swali gumu...kwa nini Chadema inaendelea kuwafuga wala rushwa?
Kwa nini Chadema isifanye zoezi la kujivua gamba ili kuwaondoa wala rushwa?
Ebu tusaidie kuwataja wala rushwa hao ambao wako chadema ambapo mpaka leo hawajatiwa nguvuni na mamlaka husika. Tusaidie kwa hilo tu.
 
Utafiti wao ulihusisha chombo gani?
Hayo ni majibu marahisi kwa swali gumu...kwa nini Chadema inaendelea kuwafuga wala rushwa?
Kwa nini Chadema isifanye zoezi la kujivua gamba ili kuwaondoa wala rushwa?
Nonsense na hao watoaji je? Tena wanatoa pesa za umma huku wakijinasibu wapinga rushwa na wacha Mungu wewe na wao do you think God is blind?Rejea uchaguzi wa naibu meya dar. Mnanunua miili tu lkn Siyo roho na nafsi
 
Katibu Mkuu wa chama anaposhangaa ujue hajui kitu na huko alipo hakuna kitu! Katibu mkuu wa chama anashangaa viongozi kusema chama hakiendeshwi vizuri. Duuuuu,
 
Back
Top Bottom