Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Wewe pia si umeondolewa mwezi uliopita!? Unajiona uko sawa?tokea umekosa uongozi makao makuu naona kichwa hakiko sawa
Wewe pia si umeondolewa mwezi uliopita!? Unajiona uko sawa?tokea umekosa uongozi makao makuu naona kichwa hakiko sawa
Mkuu jitahidi kujiuza CCM ulee familia,utakufa njaaWewe pia si umeondolewa mwezi uliopita!? Unajiona uko sawa?
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.
Ameyasema hayo mara baada ya kujiuzulu kwa madiwani wawili wa CHADEMA Mkoani Iringa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Ukishakuwa kwenye nchi ambayo inaendekeza rushwa za kisiasa na kusumbua wala rushwa na mara zote mtu akishachukua mlungula ataongea kitu chochote anachokiona, maana hao waliojiuzulu jana wanasema hawaridhishwi na na CHADEMA kinavyojiongoza wao pia ni viongozi.
Sasa mimi nashangaa lakini hapo kikubwa ni rushwa ya kisiasa ndo imewafanya kuondoka, ”amesema Mashinji.
Aidha, Mashinji amesema kuwa sio tu madiwani ambao wanafuatwa na kupewa rushwa bali hata kuna wabunge na viongozi wa juu kabisa ambao wanafuatwa na kushawishiwa kwa kupewa rushwa.
Kwa hali halisi ya siasa zilizopo Mbowe arudi kwenye ukatibu mkuu na Uenyekiti akabidhiwe jemedari Tundu Lisu au kwa sababu bado anapigania afya yake kwanza ukatibu mkuu wa Chadema kwa sasa unawatosha watu wa aina ya Meya Boniface Jacob.
Jacob anafaa kote iwe katibu au mwenyekiti
Boniface ni Hot headed person kama Lema.Hili naunga mkono
Boniface ni Hot headed person kama Lema.
Hawafai kuwa katibu wala mwenyekiti.
Labda wangemshawishi Mnyika au Msigwa
Kwenda zako huko, nani aache mshahara mzuri na marupurupu ya kutosha ati kisa tu kumuunga mkono mtu mmoja!!! Hivi hujui mshahara wa mbunge wa mwaka daktari wa serikali anaweza fanya kazi miaka 10 ndio aufikie? Ni mjinga gani wa kuibuka ati leo anajiuzuru ubunge wake kisa kuunga mkono juhudi za kutuongezea makato ya 15% ya HESLB?
May be.Mkuu kwa hali ya kisiasa wanayoendesha ccm hao ndiyo wanaofaa
Nyalandu hana njaa kama akina mtuliaKwani Nyalandu vipi? Mi ninavyoona wazalendo wa kweli kama Nyalandu wanapoona chama hakiwafai basi hata maslahi huwa hawajali, sasa unashangaa nini ........?
Bashite polepole gamo mnyeti na baba yako tangu aanze kununuwa hao anaowaahidi meli ametakata kwa akili yake 2020 utakuwa mteremko kumbe anazika kichwa kwenye mchanga kama mbuniUtafiti wao ulihusisha chombo gani?
Hayo ni majibu marahisi kwa swali gumu...kwa nini Chadema inaendelea kuwafuga wala rushwa?
Kwa nini Chadema isifanye zoezi la kujivua gamba ili kuwaondoa wala rushwa?
Rushwa magufuli na rushwa kama pete na chanda muuliza kwanini amewstoaakina babu seya rushwa tuNdugu katibu mkuu hivyo ni visababu vya kipuuzi kweli kuvisema mbele ya watu na akili zetu. Haiingii akilini kutuaminisha ni rushwa tu ndio chanzo cha hama hama. Tunaelewa vema sana hata uongozi wa juu wa chama unaendekeza mambo ya kipuuzi, kwanza bila ya kufanya uchaguzi ulio huru na mwenyekiti wa muda mrefu kukaa pembeni, chama hakitaenda popote na tegemea kuendelea kuwapoteza wengi tu huko mbele ya safari.
Na nyalandu mlimpa ngapiKatibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) Dkt. Vincent Mashinji amesema kuwa kuendelea kuhama kwa Madiwani na baadhi ya wanachama wa chama hicho chanzo chake ni rushwa na sio sababu nyingine kama wao wanavyotoa.
Ameyasema hayo mara baada ya kujiuzulu kwa madiwani wawili wa CHADEMA Mkoani Iringa na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
“Ukishakuwa kwenye nchi ambayo inaendekeza rushwa za kisiasa na kusumbua wala rushwa na mara zote mtu akishachukua mlungula ataongea kitu chochote anachokiona, maana hao waliojiuzulu jana wanasema hawaridhishwi na na CHADEMA kinavyojiongoza wao pia ni viongozi.
Sasa mimi nashangaa lakini hapo kikubwa ni rushwa ya kisiasa ndo imewafanya kuondoka, ”amesema Mashinji.
Aidha, Mashinji amesema kuwa sio tu madiwani ambao wanafuatwa na kupewa rushwa bali hata kuna wabunge na viongozi wa juu kabisa ambao wanafuatwa na kushawishiwa kwa kupewa rushwa.
Hapo umeuwaaa ngoja ajae kujibuUtafiti wao ulihusisha chombo gani?
Hayo ni majibu marahisi kwa swali gumu...kwa nini Chadema inaendelea kuwafuga wala rushwa?
Kwa nini Chadema isifanye zoezi la kujivua gamba ili kuwaondoa wala rushwa?
Huo ndiyo upoyoyo... Hoja si kuhama chama kimoja kwenda kingine??? Yule akihama sawa... Huyu akihama ni fala??? Hapa ndipo utajiuliza ni nini maana ya [HASHTAG]#ulofa[/HASHTAG] [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Nyalandu hana njaa kama akina mtulia