Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 16,923
- 31,632
Sasa kama viongozi wa CHADEMA wananunulika kirahisi hivi kwa rushwa ingekuwaje wangeshinda uraisi na viti vingi vya ubunge ile 2015?CCM inatia aibu sana ! Biashara ya binadamu ni aibu kubwa sana !
Eti huu ndio ubunifu aliokuja nao Polepole !
Si wangeuza nchi kwa watoa rushwa wakubwa toka nje kwa mgongo wa uwekezaji?