Dkt. Tulia Ackson kumlilia Hayati Magufuli kila ifikapo tarehe 17

misimajumbasita

Senior Member
Jun 10, 2018
157
272
1629180552487.png


Ni takribani miezi kadhaa sasa toka jemedari wetu wa vita Hayati Magufuli atutoke.17-03-2021 ni sikua ambayo mpendwa wetu chuma alitutoka

Navutiwa nakupendezewa sana na Naibu wa spika akiwa anatumia ukurasa wake wa instagram kila inapo fika tarehe 17 basi hutumia ukurasa wake huo kumkumbuka Hayati Magufuli.

Pongezi sana kwako Naibu Spika nafikiri huko aliko Hayati Magufuli anafurahi namna viongozi na wananchi wake wanavyomkumbuka jinsi alivyotupigania alivyojitoa sadaka kwa watu masikini.

Tunamuombea kwa Mungu azidi kumpumzisha salama John Pombe Magufuli.
 
Ni takribani miezi kadhaa sasa toka jemedari wetu wa vita hayati JPM atutoke.17-03-2021 ni sikua ambayo mpendwa wetu chuma alitutoka

Navutiwa nakupendezewa sana na Naibu wa spika akiwa anatumia ukurasa wake wa instagram kila inapo fika tarehe 17 basi hutumia ukurasa wake huo kumkumbuka hayati JPM.

Pongezi sana kwako naibu spika nafikiri huko aliko JPM anafurahi namna viongozi na wananchi wake wanavyo mkumbuka jinsi alivyotupigania alivyojitoa sadaka kwa watu masikini.

Tunamuombea kwa Mungu azidi kumpumzisha salama John Pombe Magufuli.

Huyu ni zaidi ya NS. Huyu analia kila siku.

IMG_20210513_200524_882.jpg


Kumbuka kalia sana mahakamani jana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom