Dkt. Tulia A. M katika ubora wake

Dkt. Tulia A. M katika ubora wake

Karibu Mbeya Dk Tulia Ackson Mwansasu,wana Mbeya tunakupenda sana lakino JIANDAE KWA KICHAPO KITAKATIFU 2020,JARIBU KUTIA PUA.
 
Dr Tulia Ackson Mwansasu for Mbeya Town Constituency 2020.

Mbunge makini sana!
 
NANI ANABISHA.... nyoosha mkono juu, jifanye unajikuna.
HAHAHA,,,,,,, Aliyeandika ndeye Tulia Mwansasu.
 
Kwani we hujui katumia id fake kama ambavo hatutumii org

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa

asante kwa burudani
 
Fisiem wa Mbeya wanateseka sana na usingizi hawapati.
Tulieni nyinyi mbona mna hangaika sana.
Hivyo vitu mnavyotoa mtavirudishaje kama sio kuja kupiga fedha za umma mkipata nafasi.
Acheni mambo yenu bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye sanduku la kura Mbeya mjini Tulia hawezi kuzinusa kura za Sugu hata robo miaka 800,
Tulia kushinda Mbeya mjini labda msajili wa vyama vya siasa amsaidie kwa kumvua Sugu uanachama wa CHADEMA siku 3 kabla ya uchaguzi kwa mujibu wa mswada wa sheria mpya za vyama vya siasa unaowasilishwa bungeni kwa mara ya pili hivi punde. Ila mboni kwa mboni Tulia hamuwezi Sugu Mbeya mjini maisha yake yote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI NAMSIFU TUU ALIYEMWAMBIA AKANYOA ULE UCHAFU KICHWANI MWAKE BASI
Amedamshi sio?
Screenshot_20190118-201533.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom