Dkt. Tulia A. M katika ubora wake

Dkt. Tulia A. M katika ubora wake

BILA SHAKA HATA HIO J7 PRIME KAKUHONGA UPOSTIE MAMBO YAKE HUMU
Program hii niendelevu kama utasoma huo hujumbe wake hapo juu... pia kutokana na kasi ya mabadiliko ya teknohama...

Vile vile wapo wanao nufaika na ufadhiri wa masomo, wapo wanao nufaika na vifaa vya kusomea kupitia shule mbalimbali... na sasa TT ina jikuza zaidi ina enda mbali mpaka ktk kompyuta....

vile vile kidato cha NNE kuna shule zime jisajili kufanya mitihani ya kumpyuta zipo za serikali chache na binafsi chache pia...

kwa ushahidi angalia baadhi ya shule kama Feza matokeo ya kidato cha nne

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Leo Tulia Ackson yupo Tughimbe akikutana na walimu wa shule zote za sekondary na .mliopo mbeya tunaomba taarfa zaid
 
Do.tulia siungekuja tu na id yako original kisha ndio u-post hii habari yako ya kujipigia promo " .... kwani ungefanya hivyo pangekuwa na ubaya gani

BTW usisahau kulipia TANGAZO

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahahah

{Hutajuta ukitembelea
& kusubscribe chanel yangu ya youtube jina Misifa Skills,Link hii hapa
 
Back
Top Bottom