Mikopo Chefuchefu
JF-Expert Member
- May 15, 2017
- 3,373
- 6,808
Mbona sijaiona Loleza?
Plus mamio pia walahiUZURI WA MWANAMKE UPO KWENYE CHAKULA CHA USIKU😀😀😀😀
Wewe utakuwa Katibu wake, by the way anafanya hayo kwa kofia ya Chama au Naibu Spika ?Sina uhusiano na Mh. Dr TA na hañi fahamu...
Sidhani kama atashindwa hapo Sugu,Mfano tu mdogo nae Sugu afanye kama alivyofanya Dr Tulia halafu tuone umati atakaoujazaSugu lazima ang'ol ewe hapa.....
Anayetangaza matokeo...ndio muamuzi sio wapiga kura.....it is for those who counts and anounce not for those who vote....ukishajua hii kanuni wala huumizi kichwaSidhani kama atashindwa hapo Sugu,Mfano tu mdogo nae Sugu afanye kama alivyofanya Dr Tulia halafu tuone umati atakaoujaza