Dkt. Tulia A. M katika ubora wake

Dkt. Tulia A. M katika ubora wake

Pesa zilizosaidia wapinzani kuunga mkono juhudi zingetosha kompyuta ngapi?
 
majibu utayapata 2020...

hata ukitaka tuweke dau nyumba mbilimbili... ktk hili hakika usisite...

ubishi wa porojo wengine hatupendi...
Furaha ya mtu mmoja itasababisha nafsi za watu wengi kutengana na miili yao. Kulazimisha matokeo ya ushindi watakao umia sio Ukawa tu,maana fujo itatapakaa mji mzima. Mnao taka madaraka kwa machozi na damu tuepushieni hilo balaa, tuachieni Mbeya yetu.
 
Nguvu yote hiyo ni ya nini wakati hata akigombea wapinzani hawaruhusiwi kutangazwa nyakati hizi??

Sent using Jamii Forums mobile app
karibu kwenye kampeni...
uvccm_kata_ya_tabata___Bsxrw1ujrGP___.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
karibu kwenye kampeni
Furaha ya mtu mmoja itasababisha nafsi za watu wengi kutengana na miili yao. Kulazimisha matokeo ya ushindi watakao umia sio Ukawa tu,maana fujo itatapakaa mji mzima. Mnao taka madaraka kwa machozi na damu tuepushieni hilo balaa, tuachieni Mbeya yetu.
uvccm_kata_ya_tabata___Bsxrw1ujrGP___.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
"MTAJITEKENYA NA KUCHEKA WENYEWE LAKINI SUGU NI RAIS NA MBEYA NI NCHI" Tulia anapoteza fedha bure Mbeya hapiti kwani hana MVUTO!!
 
Back
Top Bottom