Dkt. Slaa ziarani: Desemba 7, Kasulu Vijijni (Kitanga, Kigadye na Kwaga)

Kamanda Sangarara

Asante kwa kutambua mazingira halisi ya miundombinu ya mawasiliano hususan katika maeneo ya Kigoma, nasi tutajitahidi kuhakikisha hatukwazi kasi ya mapambano katika eneo hili bali tutapambana kuruka kihunzi hicho. Ushauri wako ni muhimu na umefika mkuu.

Hapa ni Kigadye, ambapo msafara wa Katibu Mkuu ulisimamishwa na wananchi walioziba njia wakitaka kumuona na kumsikiliza.

Moja ya Mapungufu yangu ni kwamba, toka nizaliwe sijawahi hata siku moja kulala kwenye nyumba ya matope na nyasi kama hizo zinazoonekana kwenye picha.

Maisha ya chini sana na ya kifukara niliyowahi kupitia na maisha ya kupanga nyumba, lakini bado nakichukia chama cha mapinduzi kwa chuki kuu sana.

Sipati picha hao ndugu zangu wanajisikiaje, au ni kwa vile hawajawahi kuonja hanasa kidogo.
 
Daaa mizee ya ccm skuizi ina akili za kitoto sana sasa apo linafanya nini,juzi mbeya eti linabembea kwenye bajaji kweli ccm kwishney
Angalia katibu wa CCM idadi ya watu anaopata na mambo anayofanya akiwa vijijini!!

9.jpg
 
Kuna mambo mawili nimeyaona.
1.Mahudhurio ni hafifu sana kiasi kwamba picha zinapigwa kiujanjaujanja hats kurugenzi ya habari inavyoripoti ni tofauti na matukio mengine.
2.Kwa ziara hii hakuna uimarishaji wa chama Bali ni kujitutumua kuficha aibu.
ulivyoweka hiyo avator yako hujakosea mkuu, lakini maumivu yakizidi muone ...........
 
Nikiona hali ya wananchi wa Tz napatwa na nahasira mno
Haiwezekani Mkoa wenye rutuba hivyo, samaki n.k watu wake wanaishi kwa tabu hivi
Anatakiwa kiongozi makini mwenye ubunifu maccm yamebaki kuwa mafisaidi tuu
Hawa wananchi wakigoma wangepewa ushirikiano katika kilimo wangeishi maisha bora sana
Wangewezeshwa then masoko nje ya nchi yakatafutwa wangekuwa mbali sana
Ila mafisaidi maccm yako busy kuiba tuu hawajali wananchi kabisa RIP Maccm

Mkuu huu ndo umaskini ninaousema kila siku
Mtoto huyo yuko peku alafu kaptula imechanika then watu wanasema maisha bora kwa kila mtanzania
Huu ni ufirauni kweli haya maisha ni maisha bora
9.jpg

Daaa mizee ya ccm skuizi ina akili za kitoto sana sasa apo linafanya nini,juzi mbeya eti linabembea kwenye bajaji kweli ccm kwishney
 
Hana jipya kwa sababu; 1. kwa level yake alipaswa kushughulika national huku akiwa amejenga misingi imara huku chini. Kwa yeye kujikita huko vijijini it means ameshindwa kujenga misingi imara. If the otherwise, why aanzie Kigoma?
2. Kupiga kambi Kasulu ina maana kwamba; (a) Anasiklizia upepo huko Kigoma mjini.
(b) Anahangaika na ushirikina ili aidha asidhurike au am output Zitto kwenye sakata lake.
(c) Anatafuta mbinu za kumcounter Zitto pale mjini.
(d) Ametambua kiwango cha hasira za watu wa Kigoma mjini juu ya uamuzi wa Kamati Kuu.More to come.

wakuu nawaomba JF chondechonde mtasababisha wagonjwa wafurike huko Dodoma
 
hawa ndo wale waha makini na wenye akili timamu, wenye uwezo wa kufanya maamuzi makini ktk mkoa na ndo hao waliotuletea wabunge wapya wanne makini wa upinzani.

ni watu wa kusikiliza na kutafakari .

achana na zile takataka za kule mwandiga na mjini za kibembe,kibwali sijui,kitongwe na wagoma sijui wote wakiwa ni mahamiaji haramu kutoka kongo na vurugu zao bila kuwa na mantiki kichwani.
wakurupukaji bila hoja.. badala ya kufuata misingi wao wamekazana kufuata watu..

hawajui kuwa watu wanatabia ya kubadika na pengine kufa.... sasa wakibdilika au pengine kufa sijui watafuata upepo?!!!

najua pia hapo mjini kg wapo waha wakutosha na hao ndio watakaokwenda kumsukiliza dr. na sera za chama pendwa.
lkn jamii ya zittoo hizo za kibembe zitakwenda kuleta fujo tu maana kwao nafasi ya ubongo kufikiri na kutafakari ilikwenda na mafuriko.

Una akili kweli wewe? :confused:
 
Masikini, mtoto pekupeku, kapura anayoitegeme imechanika, akijiliwaza atamiliki gari.
 
Hana jipya kwa sababu; 1. kwa level yake alipaswa kushughulika national huku akiwa amejenga misingi imara huku chini. Kwa yeye kujikita huko vijijini it means ameshindwa kujenga misingi imara. If the otherwise, why aanzie Kigoma?
2. Kupiga kambi Kasulu ina maana kwamba; (a) Anasiklizia upepo huko Kigoma mjini.
(b) Anahangaika na ushirikina ili aidha asidhurike au am output Zitto kwenye sakata lake.
(c) Anatafuta mbinu za kumcounter Zitto pale mjini.
(d) Ametambua kiwango cha hasira za watu wa Kigoma mjini juu ya uamuzi wa Kamati Kuu.More to come.

old newz
 
Mkuu huu ndo umaskini ninaousema kila siku
Mtoto huyo yuko peku alafu kaptula imechanika then watu wanasema maisha bora kwa kila mtanzania
Huu ni ufirauni kweli haya maisha ni maisha bora
9.jpg

Maccm ni mashetani kabisa mkuu!! Yaani wanatia hasiramno!
Katibu wao...pamja na mihela aliyo nayo ya ujangili wa tembo...anamsanifu mtoto aliepekua!!
 
Back
Top Bottom