Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 528
- 123
Kamanda Sangarara
Asante kwa kutambua mazingira halisi ya miundombinu ya mawasiliano hususan katika maeneo ya Kigoma, nasi tutajitahidi kuhakikisha hatukwazi kasi ya mapambano katika eneo hili bali tutapambana kuruka kihunzi hicho. Ushauri wako ni muhimu na umefika mkuu.
Hapa ni Kigadye, ambapo msafara wa Katibu Mkuu ulisimamishwa na wananchi walioziba njia wakitaka kumuona na kumsikiliza.
mkuu peleka picha hii juu kabisa, polen na kazi