Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,604
- 4,259
Siasa Ni siasaHivi kwa nini huwa hamtaki kuyaona makosa ya Mbowe.?
Siasa Ni siasaHivi kwa nini huwa hamtaki kuyaona makosa ya Mbowe.?
hoja hujibiwa kwa hojaHizi ni akili za waliotatiliwa marinda...no wonder ...
Nyumbu huwa hana kumbukumbu huwa anafuata tu,hawoni makosa ya Mbowe Kim Il Sung waoHivi kwa nini huwa hamtaki kuyaona makosa ya Mbowe.?
M/kiti wangu Mbowe anafaa sana kuendelea kuwa kiongozi, kikubwa Dr. Slaa arudi CHADEMA.Nyumbu huwa hana kumbukumbu huwa anafuata tu,hawoni makosa ya Mbowe Kim Il Sung wao
Unaumwa ubashite,chama kikuu cha upinzani tunawabunge wangapi sasa hiv,majiji mangapi,halmashauri ngapi,viva lowasa,wew ndo jembe la nchi hii,watumishi na wananchi wengi mtaani wanasema bora lowasaLowassa hajaleta faida yeyote katika chama chetu, naomba viongozi wagu wa CHADEMA mnisikilize mimi wanachama wenu mtiifu. Fanyieni kazi ushauri huu jamani.
We nawe mwehu tu kama wehu wengine,Acha kunipa uanachama feki CCM. Mimi ni CHADEMA damu ila bado namkubali sana Dr. Slaa. Naomba arudi tu hakuna namna.