Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,442
- 1,145
Dr. Slaa huyu mnafiki aliyewasaliti UKAWA mwaka 2015 ni wajinga tu ndio wanaoweza kumuamini na kumsikiliza.
The Muzee anaenda peperusha bendera ya ACT wazalendo 2025Ujasiri wa Balozi Dr. Wilbroad Slaa unazua maswali yasokuwa na majibu jadidi.
Ujasiri usiyobembeleza teuzi.
Ujasiri usiyotafuta kufa kwenye chama kama nzi afavyo kwenye kidonda hata kilichooza.
Ujasiri unaompa kukaa kokote atapohitajika na umuhimu wake kuonekana na mchango wake kutambulika na kuheshimiwa.
Ujasiri usioogopa hasara pia, siyo tu ujasiri unaotafuta faida pekee.
Immunity ya kisiasa ya Balozi Dr. Slaa ni immunity kama ya nzi anayekula donda la saratani lakini yeye haugui saratani.
Balozi Dr. Slaa yuko CCM, amewahi kuwepo Chadema na aliwahi kuwepo CCM lakini vipindi vyote hivyo huko AMETUNZA WAKFU WAKE pasina kuingia kwenye ufisadi wa kichama na kisiasa.
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo mwenye ufunguo wa Ikulu aliokabidhiwa na Kardinali Laurean Rugambwa; anaye Balozi Dr. Slaa kwenye waiting list ya watu watakaoongoza Tz huko tuendako.
Kila anapopita ana tabia ya kuacha rekodi nzuri na alama nzuri pia ya utendaji makini lakini akivurugwa vyote hivyo vinamfuata alipo. Tunakumbuka utendaji wake CCM, Karatu, CHADEMA, CCM.
Mteja yupi atanunua dhahabu hii msimu wa mnada unawadia 2025?
[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]aanzishe chama chake au ahamie chama chenye kujielewa agombee atapata kura nyingi sana
shida ya taifa letu watu tumejaa usaliti ,kupenda fedha kuliko uzalendo,lakini pia unafiki ni mwingi sana ndani nya taifa letu.uoga pia ni changamoto kubwa sana
Ebu rudia tena...?Hi
The Muzee anaenda peperusha bendera ya ACT wazalendo 2025
Vipi kama mtu akiwaza kimoyomoyo kwamba Lowassa aliyemng'oa Dr. Slaa Chadema na kumleta na Sumaye (2 PMs) wamekifikisha wapi Chadema atakuwa anakosea?The fact kuwa alinunuliwa na kuhongwa ubalozi inampotezea credibility ya kuongea lolote nikamuelewa! . Ni kama malaya anaposema ameamua kujiuza kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu !! Siwezi muelewa .
Wadanganyika wako kama Mkwere anayeuza nanasi kununua mua.Balozi Dr. Slaa kasisi wa zamani hanunuliki kamwe ndiye ailiyeijenga chadema,Ila Kwa kuwa Wadanganyika wengi uwezo wa akili ni mdogo hamwezi kumwelewa
Nadhani hata Nyerere alihongwa (alipewa) kuongoza Tanganyika wakati aliyestahili na kuandaliwa ni Kawawa ambaye ndiye alifahamika na kuwa na baraka na kibali cha wazee zaidi ya Nyerere. Wazee kama akina Dosa Aziz Ali, Jumbe Muhammad Tambaza, Mohamed Said, Kleist Sykes.Ubalozi si alihongwa , hukuona clips zake akiwa na ccm lobbying team pale serena ambazo zilivujishwa na whistle blower. Uwezo mkubwa wa akili ni kujisahaulisha matukio yaliyopita na kuongea uongo?
Alikuwa sahihi kusimamia msimamo wake mpaka mwisho, chadema ndo walipuyanga kukuna msimamo wao juu ya ufisadiSlaa yupo smart. Ila kwangu mie namuona ni oppoturnist ambaye yupo tayari kutelekeza misimamo yake kama anapewa tangible offers . Siasa za Tanzania ilikuwa zipate u turn nzuri mwaka 2015 kama slaa asingezingua last minutes . It turned out, kumbe alihongwa. .
Chadema ndo inaonyesha ilinunuliwa na kutoa nafasi ya urais kwa mtu ambaye ilimnadi kama fisadi kwa miaka nane na kuwaaminisha wanachi ,The fact kuwa alinunuliwa na kuhongwa ubalozi inampotezea credibility ya kuongea lolote nikamuelewa! . Ni kama malaya anaposema ameamua kujiuza kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu !! Siwezi muelewa .
Mteja ni WATANZANIA, WANANCHI wanaotambua kipaji alichojaliwa kinachoakisiwa na utendaji wake kila mahali na wakati anapohitajika, kama anavyohitajika kwa sasa.Ujasiri wa Balozi Dr. Wilbroad Slaa unazua maswali yasokuwa na majibu jadidi.
Ujasiri usiyobembeleza teuzi.
Ujasiri usiyotafuta kufa kwenye chama kama nzi afavyo kwenye kidonda hata kilichooza.
Ujasiri unaompa kukaa kokote atapohitajika na umuhimu wake kuonekana na mchango wake kutambulika na kuheshimiwa.
Ujasiri usioogopa hasara pia, siyo tu ujasiri unaotafuta faida pekee.
Immunity ya kisiasa ya Balozi Dr. Slaa ni immunity kama ya nzi anayekula donda la saratani lakini yeye haugui saratani.
Balozi Dr. Slaa yuko CCM, amewahi kuwepo Chadema na aliwahi kuwepo CCM lakini vipindi vyote hivyo huko AMETUNZA WAKFU WAKE pasina kuingia kwenye ufisadi wa kichama na kisiasa.
Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo mwenye ufunguo wa Ikulu aliokabidhiwa na Kardinali Laurean Rugambwa; anaye Balozi Dr. Slaa kwenye waiting list ya watu watakaoongoza Tz huko tuendako.
Kila anapopita ana tabia ya kuacha rekodi nzuri na alama nzuri pia ya utendaji makini lakini akivurugwa vyote hivyo vinamfuata alipo. Tunakumbuka utendaji wake CCM, Karatu, CHADEMA, CCM.
Mteja yupi atanunua dhahabu hii msimu wa mnada unawadia 2025?
Nadhani hata Nyerere alihongwa (alipewa) kuongoza Tanganyika wakati aliyestahili na kuandaliwa ni Kawawa ambaye ndiye alifahamika na kuwa na baraka na kibali cha wazee zaidi ya Nyerere. Wazee kama akina Dosa Aziz Ali, Jumbe Muhammad Tambaza, Mohamed Said, Kleist Sykes.
Musoma hakukuwa na vita vya kupinga ukoloni hivyo Nyerere hakujulikana kama Kawawa aliyezaliwa, aliyeishi na aliyesomea kwenye kanda zilizofanya vita na mkoloni na kumpa kujulikana na wazee mashuhuri, mashujaa na Ma-DC wa kikoloni.
Hii nitawaandikia makala yake siku nyingine, leo itoshe kujuwa kuwa kizazi hiki hakijui historia na historia haiepukiki ktk kui-shape nchi. Ndiyo maana watoto wa wakubwa wanapewa vyeo ili kuja kuwarithi baba zao, hiyo yote ni historia inazingatiwa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
uwe mnaandika hoja kwa kutumia akili sio mihemko, aliyegombea na kushinda nafasi uongozi wakati huo ni nyeree au kawawa ?
Inawezekana chadema ndo ilinunuliwa kipindi kile kwani ilimpa nafasi mtu waliyeaminisha watz kuwq ni fisadi ,Acha unafika mteja wake ni CCM full ubalozi, na kununulia akiwa UKAWA.
Agreed, Chadema msiache dhahabu hiyo Erythrocyte
MIMI NI PHILOSOPHER, NAANGALI ANAVYOJENGA HOJA. HAYA YA UBALOZI YANA FORUM YAKE. KATIKA KUJENGA HOJA YUKO VIZURI.Angalikuwa dhahabu hata ungaliandika hapa si unagaliiokota mwenyewe kimya kimya ; ukiona hivyo ujuwe ni dhahabu feki na haina thamani yoyote na akipewa leo ubalozi utamsikia kumsifu mama na kuunga mkono DP
By then CV ya kawawa vs Nyerere na hao wazee uliowataja zilikuaje?Na kwa nini waliamua kumchukua mzanaki mshamba born town wakaachwa solemba?Nadhani hata Nyerere alihongwa (alipewa) kuongoza Tanganyika wakati aliyestahili na kuandaliwa ni Kawawa ambaye ndiye alifahamika na kuwa na baraka na kibali cha wazee zaidi ya Nyerere. Wazee kama akina Dosa Aziz Ali, Jumbe Muhammad Tambaza, Mohamed Said, Kleist Sykes.
Musoma hakukuwa na vita vya kupinga ukoloni hivyo Nyerere hakujulikana kama Kawawa aliyezaliwa, aliyeishi na aliyesomea kwenye kanda zilizofanya vita na mkoloni na kumpa kujulikana na wazee mashuhuri, mashujaa na Ma-DC wa kikoloni.
Hii nitawaandikia makala yake siku nyingine, leo itoshe kujuwa kuwa kizazi hiki hakijui historia na historia haiepukiki ktk kui-shape nchi. Ndiyo maana watoto wa wakubwa wanapewa vyeo ili kuja kuwarithi baba zao, hiyo yote ni historia inazingatiwa.
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Nadhani rika lako na fani uliyosoma havikuku-expose kwenye utajiri wa historia ya nchi ambayo Nyerere alikwepa kui-document.uwe mnaandika hoja kwa kutumia akili sio mihemko
Zitto anasumbuliwa na udini sana bora Lipumba uanazuoni wake unamdhibiti kutozama deep kwenye udini. Zitto angekuwa Mkristo ACT Wazalendo isingekubalika kirahisi Znz kama mungu Maalim aliyemiliki siasa za upinzani za Znz hasingemridhia.MIMI NI PHILOSOPHER, NAANGALI ANAVYOJENGA HOJA. HAYA YA UBALOZI YANA FORUM YAKE. KATIKA KUJENGA HOJA YUKO VIZURI.
SAWA NA ZITO, ANAJUA KUJENGA HOJA VEMA KABISA. LAKINI LA BANDARI ANAUNGA JUHUDI ZA SAMIA KUIUZA TANGANYIKA, KWA KITU WAZI KABISA.
He is strong but he is not firm.. He can easily lose grounds..!Chadema wampe fursa tena, Lowassa alisharudi kwao hivyo pia arudi kwao.