Dkt. Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?

Dkt. Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?

Ujasiri wa Balozi Dr. Wilbroad Slaa unazua maswali yasokuwa na majibu jadidi.

Ujasiri usiyobembeleza teuzi.

Ujasiri usiyotafuta kufa kwenye chama kama nzi afavyo kwenye kidonda hata kilichooza.

Ujasiri unaompa kukaa kokote atapohitajika na umuhimu wake kuonekana na mchango wake kutambulika na kuheshimiwa.

Ujasiri usioogopa hasara pia, siyo tu ujasiri unaotafuta faida pekee.

Immunity ya kisiasa ya Balozi Dr. Slaa ni immunity kama ya nzi anayekula donda la saratani lakini yeye haugui saratani.

Balozi Dr. Slaa yuko CCM, amewahi kuwepo Chadema na aliwahi kuwepo CCM lakini vipindi vyote hivyo huko AMETUNZA WAKFU WAKE pasina kuingia kwenye ufisadi wa kichama na kisiasa.

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo mwenye ufunguo wa Ikulu aliokabidhiwa na Kardinali Laurean Rugambwa; anaye Balozi Dr. Slaa kwenye waiting list ya watu watakaoongoza Tz huko tuendako.

Kila anapopita ana tabia ya kuacha rekodi nzuri na alama nzuri pia ya utendaji makini lakini akivurugwa vyote hivyo vinamfuata alipo. Tunakumbuka utendaji wake CCM, Karatu, CHADEMA, CCM.

Mteja yupi atanunua dhahabu hii msimu wa mnada unawadia 2025?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mgombea binafsi ameruhusuwa kikatiba,

Vyama vinatukwamisha sometimes,

Mungu mbariki Dr Slaa,

Mungu ibariki TANZANIA,

Amen
 
Balozi Dr. Slaa yuko CCM, amewahi kuwepo Chadema na aliwahi kuwepo CCM lakini vipindi vyote hivyo huko AMETUNZA WAKFU WAKE pasina kuingia kwenye ufisadi wa kichama na kisiasa. Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo mwenye ufunguo wa Ikulu aliokabidhiwa na Kardinali Laurean Rugambwa; anaye Balozi Dr. Slaa kwenye waiting list ya watu watakaoongoza Tz huko tuendako.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
your wishes
 
Slaa yupo smart. Ila kwangu mie namuona ni oppoturnist ambaye yupo tayari kutelekeza misimamo yake kama anapewa tangible offers . Siasa za Tanzania ilikuwa zipate u turn nzuri mwaka 2015 kama slaa asingezingua last minutes . It turned out, kumbe alihongwa. .
Hawezi kufuata ujinga alishafafanua mfano wakati hujakojolea kitanda ulikuwa naye sasa umekojolea kitanda unataka abaki hivyo hivyo asiamke kutoka Kwa kitanda,kumbuka wew Kwa ujinga wako hujui kama umekojolea kitanda...Nani mwenye kosa hapo?
 
The fact kuwa alinunuliwa na kuhongwa ubalozi inampotezea credibility ya kuongea lolote nikamuelewa! . Ni kama malaya anaposema ameamua kujiuza kutokana na hali ya maisha kuwa ngumu !! Siwezi muelewa .
 
Balozi Dr. Slaa kasisi wa zamani hanunuliki kamwe ndiye ailiyeijenga chadema,Ila Kwa kuwa Wadanganyika wengi uwezo wa akili ni mdogo hamwezi kumwelewa
 
Ujasiri wa Balozi Dr. Wilbroad Slaa unazua maswali yasokuwa na majibu jadidi.

Ujasiri usiyobembeleza teuzi.

Ujasiri usiyotafuta kufa kwenye chama kama nzi afavyo kwenye kidonda hata kilichooza.

Ujasiri unaompa kukaa kokote atapohitajika na umuhimu wake kuonekana na mchango wake kutambulika na kuheshimiwa.

Ujasiri usioogopa hasara pia, siyo tu ujasiri unaotafuta faida pekee.

Immunity ya kisiasa ya Balozi Dr. Slaa ni immunity kama ya nzi anayekula donda la saratani lakini yeye haugui saratani.

Balozi Dr. Slaa yuko CCM, amewahi kuwepo Chadema na aliwahi kuwepo CCM lakini vipindi vyote hivyo huko AMETUNZA WAKFU WAKE pasina kuingia kwenye ufisadi wa kichama na kisiasa.

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo mwenye ufunguo wa Ikulu aliokabidhiwa na Kardinali Laurean Rugambwa; anaye Balozi Dr. Slaa kwenye waiting list ya watu watakaoongoza Tz huko tuendako.

Kila anapopita ana tabia ya kuacha rekodi nzuri na alama nzuri pia ya utendaji makini lakini akivurugwa vyote hivyo vinamfuata alipo. Tunakumbuka utendaji wake CCM, Karatu, CHADEMA, CCM.

Mteja yupi atanunua dhahabu hii msimu wa mnada unawadia 2025?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Huyu Padri aliesi haaminiki tena na hatakaa aaminike ,ni mzuri sana wa kuoa na kuacha
 
Balozi Dr. Slaa kasisi wa zamani hanunuliki kamwe ndiye ailiyeijenga chadema,Ila Kwa kuwa Wadanganyika wengi uwezo wa akili ni mdogo hamwezi kumwelewa
Ubalozi si alihongwa , hukuona clips zake akiwa na ccm lobbying team pale serena ambazo zilivujishwa na whistle blower. Uwezo mkubwa wa akili ni kujisahaulisha matukio yaliyopita na kuongea uongo?
 
Kampeni imeanza
Lissu anageukwa sasa hivi .
Vijana wa Pengo na Slaa kazin...
Philip Mpango ndie atakae kuja kufaidika iwapo mipango ya Pengo itafanikiwa...
Slaa anatumika tena ..
Pamoja na udini wako lakini ni bora huyo Mpango ana akili kuliko huyo Ustadhat wako anayeonekana anategemea kuambiwa kila kitu na wasaidizi 100% ndio maana wanamuingiza chaka.
 
Mtego huo. Dr Slaa ni CCM aliyepewa jukumu maalum, na anaifanya kazi yake vema sana. Ataikosoa sana Serikali na hata kutoa maneno makali kuliko ya wapinzani wa kweli
 
Mgombea binafsi ameruhusuwa kikatiba,

Vyama vinatukwamisha sometimes,

Mungu mbariki Dr Slaa,

Mungu ibariki TANZANIA,

Amen
Akiibuka atazoa wengi. Kwanza upinzani huu ambao umeisha kufa anaujuwa vizuri wapi pa kupiga. CCM anaijuwa vizuri wapi pa kubetua. Ana sifa zote. Hana uvundo kama wengine. Ni yeye pekee anaweza kuisumbua Sukuma gang.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ujasiri wa Balozi Dr. Wilbroad Slaa unazua maswali yasokuwa na majibu jadidi.

Ujasiri usiyobembeleza teuzi.

Ujasiri usiyotafuta kufa kwenye chama kama nzi afavyo kwenye kidonda hata kilichooza.

Ujasiri unaompa kukaa kokote atapohitajika na umuhimu wake kuonekana na mchango wake kutambulika na kuheshimiwa.

Ujasiri usioogopa hasara pia, siyo tu ujasiri unaotafuta faida pekee.

Immunity ya kisiasa ya Balozi Dr. Slaa ni immunity kama ya nzi anayekula donda la saratani lakini yeye haugui saratani.

Balozi Dr. Slaa yuko CCM, amewahi kuwepo Chadema na aliwahi kuwepo CCM lakini vipindi vyote hivyo huko AMETUNZA WAKFU WAKE pasina kuingia kwenye ufisadi wa kichama na kisiasa.

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo mwenye ufunguo wa Ikulu aliokabidhiwa na Kardinali Laurean Rugambwa; anaye Balozi Dr. Slaa kwenye waiting list ya watu watakaoongoza Tz huko tuendako.

Kila anapopita ana tabia ya kuacha rekodi nzuri na alama nzuri pia ya utendaji makini lakini akivurugwa vyote hivyo vinamfuata alipo. Tunakumbuka utendaji wake CCM, Karatu, CHADEMA, CCM.

Mteja yupi atanunua dhahabu hii msimu wa mnada unawadia 2025?
hivi kwa sasa ana miaka mingapi
 
Nchi hii hakuna mtu ambaye msoga anamuogopa kama Dr. Slaa. 2010 alisema bora mara mia Tundu awe rais kuliko Dr. Slaa kuwa hata Mbunge. Siku zote giza hukimbia nuru bila kuamriwa. Uchafu huogopa usafi. Nguvu ya Balozi Dr. Slaa inayofanya wakubwa wengi wamuhofu ni Vatican.

Kama mama anataka kuiokoa nchi isititie, kuiokoa CCM kuelekea 2025 na kurudisha imani ya umma kwa CCM afanye uamuzi mchungu wa kumteua Balozi Dr. Slaa kumrithi Chongolo na Balozi Humphrey Polepole kuwa Mwenezi.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
hivi kwa sasa ana miaka mingapi
In Afro age and health don't matter.

Hata Lowassa anaweza kutawala lakini anahurumia mali zaidi kuliko wananchi (ana mapenzi na mali).

Dr. Slaa ni wa kujitoa muhanga, sifa pekee ambayo ndiyo Tz inahitaji hivi sasa.

Dr. Slaa kwa ujasiri wake aliwahi kumuonya na kumtishia hadharani Big Ben Mkapa asivunje Halmashauri ya Karatu.

Mkapa alitaka mapato ya Karatu yaje Hazina ndiyo yapangiwe matumizi kulingana na ilani ya CCM, yeye Dr. Slaa alitaka yabaki kujenga Karatu yalikokusanywa kwa jasho badala ya kwenda Hazina kupelekwa kujenga Halmashauri zingine zembe zilizojaa hati chafu za ukaguzi.

He had a point.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Kweli anatema madini sana ila kitendo kile alichokifanya 2015 kimemshusha sana ,ila kwa jana alivyoongea star Tv nimemkubali sana ,amepiga kwenye mshono hasa kwenye DP world na katiba mpya.
Dah!...jifunzeni kusahau na ku-move on kuganga yajayo.
 
In Afro age and health don't matter.

Hata Lowassa anaweza kutawala lakini anahurumia mali zaidi kuliko wananchi (ana mapenzi na mali).

Dr. Slaa ni wa kujitoa muhanga, sifa pekee ambayo ndiyo Tz inahitaji hivi sasa.

Dr. Slaa kwa ujasiri wake aliwahi kumuonya na kumtishia hadharani Big Ben Mkapa asivunje Halmashauri ya Karatu.

Mkapa alitaka mapato ya Karatu yaje Hazina ndiyo yapangiwe matumizi kulingana na ilani ya CCM, yeye Dr. Slaa alitaka yabaki kujenga Karatu yalikokusanywa kwa jasho badala ya kwenda Hazina kupelekwa kujenga Halmashauri zingine zembe zilizojaa hati chafu za ukaguzi.

He had a point.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
aanzishe chama chake au ahamie chama chenye kujielewa agombee atapata kura nyingi sana
shida ya taifa letu watu tumejaa usaliti ,kupenda fedha kuliko uzalendo,lakini pia unafiki ni mwingi sana ndani nya taifa letu.uoga pia ni changamoto kubwa sana
 
Acha unafika mteja wake ni CCM full ubalozi, na kununulia akiwa UKAWA.
 
Back
Top Bottom