Dkt. Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?

Dkt. Slaa ni dhahabu iliyokosa mteja?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,614
Ujasiri wa Balozi Dr. Wilbroad Slaa unazua maswali yasokuwa na majibu jadidi.

Ujasiri usiyobembeleza teuzi.

Ujasiri usiyotafuta kufa kwenye chama kama nzi afavyo kwenye kidonda hata kilichooza.

Ujasiri unaompa kukaa kokote atapohitajika na umuhimu wake kuonekana na mchango wake kutambulika na kuheshimiwa.

Ujasiri usioogopa hasara pia, siyo tu ujasiri unaotafuta faida pekee.

Immunity ya kisiasa ya Balozi Dr. Slaa ni immunity kama ya nzi anayekula donda la saratani lakini yeye haugui saratani.

Balozi Dr. Slaa yuko CCM, amewahi kuwepo CHADEMA na aliwahi kuwepo CCM lakini vipindi vyote hivyo huko AMETUNZA WAKFU WAKE pasina kuingia kwenye ufisadi wa kichama na kisiasa.

Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo mwenye ufunguo wa Ikulu aliokabidhiwa na Kardinali Laurean Rugambwa; anaye Balozi Dr. Slaa kwenye waiting list ya watu watakaoongoza Tz huko tuendako.

Kila anapopita ana tabia ya kuacha rekodi nzuri na alama nzuri pia ya utendaji makini lakini akivurugwa vyote hivyo vinamfuata alipo. Tunakumbuka utendaji wake CCM, Karatu, CHADEMA, CCM.

Mteja yupi atanunua dhahabu hii msimu wa mnada unawadia 2025?
 
Ujasiri wa Balozi Dr. Wilbroad Slaa unazua maswali yasokuwa na majibu jadidi.

Ujasiri usiyobembeleza teuzi.

Ujasiri usiyotafuta kufa kwenye chama kama nzi afavyo kwenye kidonda hata kilichooza.

Ujasiri unaompa kukaa kokote atapohitajika na umuhimu wake kuonekana na mchango wake kutambulika na kuheshimiwa.

Ujasiri usioogopa hasara pia, siyo tu ujasiri unaotafuta taifa pekee.

Immunity ya kisiasa ya Balozi Dr. Slaa ni immunity kama ya nzi anayekula donda la saratani lakini yeye haugui saratani.

Kila anapopita ana tabia ya kuacha rekodi nzuri na alama nzuri pia ya utendaji makini lakini akivurugwa vyote hivyo vinamfuata alipo. Tunakumbuka utendaji wake CCM, Karatu, CHADEMA, CCM.

Mteja yupi atanunua dhahabu hii msimu wa mnada unawadia 2025?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Chadema nunua dhahabu hiyo, ya nyuma achana nayo tusonge mbele
 
Slaa yupo smart. Ila kwangu mie namuona ni oppoturnist ambaye yupo tayari kutelekeza misimamo yake kama anapewa tangible offers . Siasa za Tanzania ilikuwa zipate u turn nzuri mwaka 2015 kama slaa asingezingua last minutes . It turned out, kumbe alihongwa. .
 
Lowassa ambaye hakuhongwa bado yupo Chadema?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Chadema wampe fursa tena, Lowassa alisharudi kwao hivyo pia arudi kwao.
Balozi Dr. Slaa ni Jasusi la Vatican. Hagusiki na ndiyo maana hata akitema cheche dhidi ya serikali husikii akitumiwa wasiojulikana wala manjagu wenye bastola kumtishia kama ilivyokuwa kwa Nape.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Ujasiri wa Balozi Dr. Wilbroad Slaa unazua maswali yasokuwa na majibu jadidi.

Ujasiri usiyobembeleza teuzi.

Ujasiri usiyotafuta kufa kwenye chama kama nzi afavyo kwenye kidonda hata kilichooza.

Ujasiri unaompa kukaa kokote atapohitajika na umuhimu wake kuonekana na mchango wake kutambulika na kuheshimiwa.

Ujasiri usioogopa hasara pia, siyo tu ujasiri unaotafuta faida pekee.

Immunity ya kisiasa ya Balozi Dr. Slaa ni immunity kama ya nzi anayekula donda la saratani lakini yeye haugui saratani.

Kila anapopita ana tabia ya kuacha rekodi nzuri na alama nzuri pia ya utendaji makini lakini akivurugwa vyote hivyo vinamfuata alipo. Tunakumbuka utendaji wake CCM, Karatu, CHADEMA, CCM.

Mteja yupi atanunua dhahabu hii msimu wa mnada unawadia 2025?

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
Mteja si ni chadomo au mnasubiria nini?

Mushumbushi ameshamkalia Kooni ndio maana Yuko hivyo anatafuta kutukizwa..

Mzee awamu hii hakuna biashara ya kununua watu Wala nini utaongea Hadi midomo ipasuke.
 
Kampeni imeanza
Lissu anageukwa sasa hivi .
Vijana wa Pengo na Slaa kazin...
Philip Mpango ndie atakae kuja kufaidika iwapo mipango ya Pengo itafanikiwa...
Slaa anatumika tena ..
Unajuwa uchambuzi wa siasa kongole. Waseminari wamepangwa, hao wengine wakaongoze mawe.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Mteja si ni chadomo au mnasubiria nini?

Mushumbushi ameshamkalia Kooni ndio maana Yuko hivyo anatafuta kutukizwa..

Mzee awamu hii hakuna biashara ya kununua watu Wala nini utaongea Hadi midomo ipasuke.
Subiri muda uwadie utaona mama akimtumia Musiba 100%, mtajuwa hamjui. Znz nako wametengeneza Slaa wao Balozi Karume.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Chadema nunua dhahabu hiyo, ya nyuma achana nayo tusonge mbele
Balozi Dr. Slaa yuko CCM, amewahi kuwepo Chadema na aliwahi kuwepo CCM lakini vipindi vyote hivyo huko AMETUNZA WAKFU WAKE pasina kuingia kwenye ufisadi wa kichama na kisiasa. Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo mwenye ufunguo wa Ikulu aliokabidhiwa na Kardinali Laurean Rugambwa; anaye Balozi Dr. Slaa kwenye waiting list ya watu watakaoongoza Tz huko tuendako.

Back
Top Bottom