Dkt. Slaa kuwataja walio nyuma ya uuzwaji wa Bandari kama 2007 alivyowataja Mkapa na Kikwete kwenye ‘List of Shame’ Mwembeyanga

Fala huyo, siyo mikataba 17 ni 37.
 
HIVI BALALI ALKUFA KWELI AU MCHONGO?
 
Andaa na wewe mkutano ukawataje
 
Na kweli...
 
Lkn huyu Padri kwa aliyofanya hana haya ht kidogo.
 
Lowassa baada ya hapo akawa Mgombea Urais kupiyia Chadema! Ahahahahaha!!! Rostam leo ndio anawalaza nje na DP World na Bandari ahahahahaha!!!
Umetaka nikueleze kilichowakuta baada ya list of shame nimekuonyesha hayo maelezo mengine ya leo wako wapi hayanihusu.
 
Kama una uhakika alihongwa wewe taja na yeye atawataja walionyuma ya mkataba kwa upande wake.
Na yeye aweke ushahidi, sio kutaja tu.
Ila sisi tuna ushahidi kuwa aliisaliti CDM ktkt ya mapigano na kisha akapewa ubalozi
 
Mkuu, jielekeze kwenye mambo yenye infect kwa nchi, sio kuleta umbeaumbea na mambo binafsi ya mtu.
Mambo binafsi mtu kusaliti chama tena kipindi ha uchaguzi!!?
We unaona hilo ni jambo binafsi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…