Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,367
- 2,407
Kwani Mashinji alisharudi CHADEMA? Nilipitwa na habari za huzuni! Mbowe kaona mbali, kwa sababu CHADEMA kwa sasahivi haina wanasiasa. Lissu na Mnyika nao wameona mbali, kwani wanatetea matumbo yao na si kwa maslahi ya chama. Hata hivyo Dr Slaa kwa sasa ni mav-i ya kale, hana issue yeyote.Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Alisahau nini Chadema? Si aliapa ameachana na siasa?Ijumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Labda kwa tume ya policcm lkn kwa Tume huru Ccm isahau kuingia ikuluKwani Mashinji alisharudi CHADEMA? Nilipitwa na habari za huzuni! Mbowe kaona mbali, kwa sababu CHADEMA kwa sasahivi haina wanasiasa. Lissu na Mnyika nao wameona mbali, kwani wanatetea matumbo yao na si kwa maslahi ya chama. Hata hivyo Dr Slaa kwa sasa ni mav-i ya kale, hana issue yeyote.
Kifupi kwa CHADEMA ilivyo sasa hivi, 2025 hata wabunge 15 TZ yote hawapati. Suala la Bandari halitwaongezea Kura.
Kuliko ccm?CHADEMA hakijawahi mkataa mtu yeyote... HAKINA filter hiyo... ANYONE HAS A PLACE IN IT
Nyuzi za chadema utashangaa wachangiaji na washauri ni maccm😆😆😆Offcourse deep state wanamtaka Slaa ataweza mvuruga Samia Hadi suala la katiba mpya litakwenda na maji...
Slaa Hana adabu na ana chuki za kidini ..hii itamfanya Samia awachukie Chadema kabisa ...na asijali Sana maridhiano...na atalazimika kuwa accommodate..team JPM na team Kikwete more kupambana na Slaa na Tundu Lissu...ambao wote hawajui siasa wanajua .uwanaharakati...
In the end watakaopata faida ni ccm hardliners ambao Samia atalazimika kuwasikiliza zaidi ili kuwadhibiti Slaa na Tundu Lissu....
Huku mtu wa Pengo... Philip Mpango anaji brand kama "calm na collected" na "president in waiting"...
Let's wait and see
Nyie mnaota! Vijijini hamfahamiki, kura za huko mtazipataje? Kampeni zenu huwa zinaishia mijini tu. Nipe picha moja ya NYOMI akiwa kiongozi wenu mmoja wa CHADEMA kaenda kuhutubia huko kijijini. Kweli sijawahi kuona!Labda kwa tume ya policcm lkn kwa Tume huru Ccm isahau kuingia ikulu
Bandari kwanzaIjumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Bila shaka unashabikia Uto wewe...Nyie mnaota! Vijijini hamfahamiki, kura za huko mtazipataje? Kampeni zenu huwa zinaishia mijini tu. Nipe picha moja ya NYOMI akiwa kiongozi wenu mmoja wa CHADEMA kaenda kuhutubia huko kijijini. Kweli sijawahi kuona!
What?Bila shaka unashabikia Uto wewe...
Hata mama yako anaweza rudiana na boyfriend wake wa zamani kipi cha ajabu Slaa kurudi chademaKwaakili za manyumbu wanamsubiri mbowe akisema Dr slaa anafaa watasema ndiyoooo akisema ni msaliti wataamini hivyo mpaka kifo chao.
Huwez amini wamemsamehe lowasa dhambi zake zote na Zitto wanamuona ndo msaliti kumzidi hata lowasa! Siasa za Manyumbu mtu anatembea na bongo zao mifukoni. Haaraf hata hii post wakija watatukana tuu
Kwa sasa tuko Busy Kuinusuru Bandari zetuIjumaa ya tarehe 7/7/2023 , siku ya sabasaba , ilipangwa iwe siku maalumu ya kada maarufu na mbobezi Dkt. Slaa kurudi rasmi kundini na chama kuunganishwa , baada ya makovu waliyopitia Chadema baada ya Dr Slaa kuwaacha 2015.
Lakini mvutano mkubwa umeibuka , huku Mbowe akiwa tayari kumrudisha Kundini Slaa , Aliyewahi kuwa Rais wa TLS na makamu mwenyekiti Tundu Lissu , na Mnyika wamekataa kuridhia .
Baadhi ya wana chadema wanaona Tundu Lissu anamhofia Slaa anaweza kuwa fovorite 2025 kugombea urais , huku Mbowe akiamini kama waliweza kuwakaribisha akina Mashinji kila mtu anastahili msamaha na nafasi ya pili(second chance).
Kazi kwenu makada , Mbowe au Lissu?
Mada inahusu Chadema ushauri unatolewa na wanaccm.....maajabuNyie mnaota! Vijijini hamfahamiki, kura za huko mtazipataje? Kampeni zenu huwa zinaishia mijini tu. Nipe picha moja ya NYOMI akiwa kiongozi wenu mmoja wa CHADEMA kaenda kuhutubia huko kijijini. Kweli sijawahi kuona!
Hakuna rafiki wala adui wa kudumu kwenye siasaKwaakili za manyumbu wanamsubiri mbowe akisema Dr slaa anafaa watasema ndiyoooo akisema ni msaliti wataamini hivyo mpaka kifo chao.
Huwez amini wamemsamehe lowasa dhambi zake zote na Zitto wanamuona ndo msaliti kumzidi hata lowasa! Siasa za Manyumbu mtu anatembea na bongo zao mifukoni. Haaraf hata hii post wakija watatukana tuu
Mikutano ya cdm inaamsha hisia za watu wengi tofauti na nyinyi mikutano yenu imedoda sana huyo chongolo anazunguka tu na wasanii mikutano yenu mimi huwa naiona ni kama matamasha tu watu kwenda kuburudikaNyie mnaota! Vijijini hamfahamiki, kura za huko mtazipataje? Kampeni zenu huwa zinaishia mijini tu. Nipe picha moja ya NYOMI akiwa kiongozi wenu mmoja wa CHADEMA kaenda kuhutubia huko kijijini. Kweli sijawahi kuona!
Tafadhali, picha ya NYOMI kijijini!Mikutano ya cdm inaamsha hisia za watu wengi tofauti na nyinyi mikutano yenu imedoda sana huyo chongolo anazunguka tu na wasanii mikutano yenu mimi huwa naiona ni kama matamasha tu watu kwenda kuburudika
Ni wanaccm na wasio ccm. Hao ni watani zenu. Tafadhali lete picha NYOMI kijijini!Mada inahusu Chadema ushauri unatolewa na wanaccm.....maajabu