johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,995
Dawa yenu!So what?
Mbona malori yameshaanza kuvuka bwashee!Hakuna kuvusha mahindi
Tangakenya!Boss alitaka amuachie Kenyatta kuwa rais wa wapi?
Mh!!Tangakenya!
... ujinga mtupu Chief! Dunia ya leo wanatuletea stori za mwaka 47!So what?
Kenyata inge-sound vizuri zaidi! Japo kwa dunia ya leo, stori utopolo hizo!Tangakenya!
Bwashe hebu pandisha uzi wenye akili unaodadavua manufaa ya kitu inaitwa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa hizi nchi zetu. Kama tu mahindi yetu wanayafanyiwa hila kuna haja gani kuwa kwenye EAC common market? JPM aungalie umoja kwa jicho la kikemia! Handle with care, very explosive union kama conc. Sulfuric acid!Tangakenya!