jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 651
- 2,246
...kwa kweli imenitafakarisha sana!Huu mwanzo tu,,
Wembe ni ule ule 😂😂😂
Huko kujiamini ki mamlaka imekuwa kwa ghafla mno kuliko ilivyotarajiwaTumpe muda
Aisee!Na akamwambia kmk kaa tu vile alivyozoea jpm hii nayo mmmmh
..pengine dokezo lileee lilimhusu huyo mwambaWahutu wa Rwanda, watamtumia Dr Mpango ili kukamilisha "Mpango" wao wa kurudi Rwanda iwapo Mpango atakuja kuwa Raisi.
Hahahahahahahaha!Mbona hakuna tatizo hapo.
Kumbuka mpango nae NI RAIS.
wewe ulijua Samia atakuwa rais?