Dkt. Olusegun Obasanjo akutana na Rais Magufuli, Asema kiongozi yeyote wa Afrika anayethubutu kuwazuia mabeberu hawawezi kumpenda

Kutoa kauli bila kujua ukweli husika ni UPUUZI MTUPU! Labda ni strong kwenye uongo, wizi, dhuluma, ufisadi, dhuluma, udikteta ikiwemo na mauaji bila kusahau udukuzi wa private communication ya Mawaziri na wengineo.

 
JPM is strong no doubt; anaangushwa na yesmen na wasaidizi wake; when you have a strong president like him you need strong advisers which he misses and this lets him down, he can still filter and sort them out to get strong advisers
Kwahiyo watakaomwambia "No",ndiyo "strong adivisers". Na yeye anapenda "strong advisers"

Wrong assumption!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu Obasanjo alijaribu kutaka kubadilisha katiba ili atawale maisha lkn aliambiwa "Not in Nigeria".

Halafu zaidi ya miaka minne iliyopita nilipotembelea Lagos, Nigeria niliambiwa kuwa huyu mzee aliwahi kutembea na mkamwana wake.!!

Pia huyu Obasanjo, kama majenerali wenzake ktk serikali mbalimbali za kijeshi zilizotawala Nigeria, anatuhumiwa kumiliki mali nyingi sana ambayo source yake ni ufisadi. Hana " Legacy " yoyote ya maana aliyoacha. He is a Spent Force.
 
Ninaamini Mh. Rais wa awamu hii atakuja kuwa Rais bora kabisa atakapostaafu kwa kutuachia Katiba Bora sana ya Warioba.
Na November 2025 Mh. Tundu Antipasi Lisu atakua ni Rais wa Awamu ya Sita ambaye ataiongoza nchi kwa kuilinda Katiba ya wakati huo itakayohitaji Demokrasia pana.

Kwa sasa Mh.Rais wetu ndiye anayeweza kutuvusha kuipata katiba mpya.
Bila Rais na mwenyekiti imara kwa sawa chini ya CCM hatutakuja kupata katiba mpya.
Naamini kuelekea 2020 - 2025 tutapata katiba mpya mana kimekua ni kilio cha wanyonge kuona watawala nao wanakuwa kama binadamu na sio miungu juu ya ardhi hii tuliyopewa na Bwana Mungu.
Na kwa sababu Rais wetu ni mchamungu ameshaona kuwa kuna watu wejifanya miungu kutokana na madaraka na mwisho wa tabia hizo ni kupatikana kwa katiba mpya yenye kuweka mbele maslahi ya Taifa na sio vyama na itikadi. Itikadi zinaki wakati wa uchaguzi tu lakini tuwe na umoja wa kitaifa ili wale Wasio na uwezo wakae pembeni bila kujali upambe wakati wa uchaguzi.

Kuna watu hawastahili kuwa hata makatibu kata lakini wanapewa kwa sababu ya itikadi na maslahi ya chama sio Taifa.

Bado nina imani kubwa sana na Mh. Rais JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Faraja ilioje huku Tundu Lissu anaenda kuomba msaada wa kudhoofisha juhudi za mh. Rais kutumikia watu wake.

Marais wastaafu wenye nguvu Africa member wa PRM Olusegun Obasanjo jets in DSM kumpa nguvu na kumpongeza Rais wetu kwa kazi kubwa nzr na ya kishujaa anayofanya kujenga nchi.

Neno la faraja hapo ni MABEBERU hawajawahi kumpenda kiongozi yeyote wa Africa anaethubutu kupingana na mipango yao ya kinyonyaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
He is strong in deed unless mtu tu awe ana yake. Our president is doing all the best he can for our country..and he deserved this word from this great senior himself.
To be strong doesn't mean-uwe rigid,ignorant na utumie nguvu nyingi kuliko akili
 
JPM anapenda kuwapa watu chellenge za kikazi. Ukiwa muoga mbele yake utahisi unaonewa, ukiwa unajua unafanya nini hata siku moja hawezi kuwa adui yako.

Anapenda kwenda hatua moja zaidi, hapendi upeo wake uishie katika ile general thinking.
 
JPM anarudisha heshima ya Africa. Nisafiri kwenda ng'ambo wale weusi wote walikuwa wananiita Magufuli. How are you Magufuli? Wengine waliahidi kuja kutembelea Tanzania kila watakapo pata nafasi. Nyerere alitukomboa kisiasa lakini JPM anatukomboa Kiuchumi.

Kuna vichaa wachache tu wanazani bado tunahitaji siasa za miaka ya 1960s.. sasa wako ng'ambo kujikomba kwa waume zao. Na hawatawasaidia ng'o? Wataishia aibu tu mara 2025 hii hapa na JPM keshamaliza kazi anenda zake Chato kula Samaki na Mihogo.

Viva JPM.
 
JPM is strong no doubt; anaangushwa na yesmen na wasaidizi wake; when you have a strong president like him you need strong advisers which he misses and this lets him down, he can still filter and sort them out to get strong advisers
He don't need any he might take straight honest advice from Artificial Intelligence machines.
 
Back
Top Bottom