Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,317
- 9,409
R.i.p ndodiKwaya ya kurasini kwa tumepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mshiriki mwenzetu Dr Ndodi Mungu akawe faraja kwa familia pamoja na sote tulioguswa na msiba huu….Vita umevipiga na mwendo umeumaliza 😭😭😭
NdodiiiiKwaya ya kurasini kwa tumepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Mshiriki mwenzetu Dr Ndodi Mungu akawe faraja kwa familia pamoja na sote tulioguswa na msiba huu….Vita umevipiga na mwendo umeumaliza 😭😭😭
Placebo effect ni sayansi na inafanya kazi pia. Unakumbuka alizunguliwa na Dr. Kigwangala wakati akiwa waziri wa afya?Huyu so ndo aliwatapeli sana mafaza wetu kwenye inshu za herbal??
Ndio huyu alikuwa anatumia wimbo wa vitisho. "Hakiiikah, hakikaah. Hakiiikaah natembea mimi ni marehemu" 🎵🎵🎶Huyu so ndo aliwatapeli sana mafaza wetu kwenye inshu za herbal??
Alikuwa dakitari wa tiba mbadalaJina lake sio geni
Apumzike kwa amani
Unawachanganya watu wawili tofauti aliyezinguliwa na Kigwangala siyo huyuPlacebo effect ni sayansi na inafanya kazi pia. Unakumbuka alizunguliwa na Dr. Kigwangala wakati akiwa waziri wa afya?
Kigwa effectsApumzike kwa amani. Alipata umaarufu mwingi baadae akaamua awe low key.