Dkt. Nchimbi hachunguziki CCM

Dkt. Nchimbi hachunguziki CCM

Ipyana malelela yupo wapi Leo. Huyu ipyana aligombea iliwahi gombea na nchimbi UVCCM na Nchimbi yupo wapi Leo
Kihongosi na happy kuweni Makini
Jamaa ni mtu hatari sana huyu
Ipyana ni kiluga chako cha kabila gani?

Ni habari gani uliyolenga kutuhabarisha wana jamvi?
 
Mengi ya kusimulia ila machache ni kumbukumbu yenye kuvutia ,tuko tunapambana na wana akina Nel na Sydon kuweka sawa mambo ya mziki ,eti kusherekea sherehe ya Ipy ameshinda uenyekiti ,ghafla bin vuu mwanetu kitunda anatokea Tandika na tax lake la blue ameikimbiza kuelekea tulipo .

Mimi kama dogo kwa wote nasikilizia wakubwa wanasema nini juu ya mwendo wa braza Kitunda ,Hemedi picha anasema mwanenu kashalewa ukiona hivyo .

Isivyo tarajiwa anashuka akiwa wima mithiri ya afande baba sharifu hapepesi macho wala kuyumbisha mwili ila anasema dili limebuma ,mwanetu kashakula mchanga huko 😪 ,hakuna anayeamini kila mtu anatoa macho kama mjusi aliyabanwa na mlango .

Baraza kide anatuambia tupande kwenye rover lake twende kwa Ipy tuhakiki hyo maneno ,kufika huko the rest ni history ya huzuni tu .

Keep resting Ipyana A.K.A Ipy ,keep resting kaka mkubwa Lemutuz ,ikiwa kuna kukutana tutakuna tena .🥲
Kwa keli ilikiwa mstukonkwa wengi.
RIP Mdogo wangu Ipyana.
Na du umekumbushia na kaka yake Le Mutuz, aliyekuwa anamkoma nyangi kwa giledi.
RIP Willy.
 
Back
Top Bottom