Dkt. Mwigulu: tuendelee kumuombea Lukuvi

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
273
Reaction score
205
DKT. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA MHE. LUKUVI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaomba Watanzania waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi aliyefariki jana Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.

Akiongea kwa niaba ya Serikali nyumbani kwa marehemu Area D, jijini Dodoma leo, Alhamisi, Machi 26, 2026, Waziri Mkuu amesema: “Kwa niaba ya Serikali natoa pole kwa familia, ndugu, jamaa. Jambo hili zito, gumu kulielewa, gumu kulipokea.”

…Lakini ndio limeshatufika na sote hatukutarajia maana Mheshimiwa Waziri alikuwa kazini. Tuendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu na kuifariji familia. Mwenyezi Mungu awaimarishe kwa sababu yeyé ndio mfariji mkuu,” amesisitiza.

Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Vilevile, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametumia fursa hiyo kuihakikishia familia kwamba Serikali itaendelea kuwa pamoja nayo katika kipindi hiki chote cha majonzi.

Viongozi wengine waliokuwepo msibani hapo ni pamoja na Naibu Spika, Daniel Siro, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumisi wa Umma na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Toba Nguvila.

IMG-20260326-WA0078.jpg
IMG-20260326-WA0083.jpg
IMG-20260326-WA0081.jpg
IMG-20260326-WA0075.jpg
IMG-20260326-WA0071.jpg

Attachments

  • IMG-20260326-WA0082.jpg
    IMG-20260326-WA0082.jpg
    445 KB · Views: 2
DKT. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA MHE. LUKUVI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaomba Watanzania waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi aliyefariki jana Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.

Akiongea kwa niaba ya Serikali nyumbani kwa marehemu Area D, jijini Dodoma leo, Alhamisi, Machi 26, 2026, Waziri Mkuu amesema: “Kwa niaba ya Serikali natoa pole kwa familia, ndugu, jamaa. Jambo hili zito, gumu kulielewa, gumu kulipokea.”

…Lakini ndio limeshatufika na sote hatukutarajia maana Mheshimiwa Waziri alikuwa kazini. Tuendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu na kuifariji familia. Mwenyezi Mungu awaimarishe kwa sababu yeyé ndio mfariji mkuu,” amesisitiza.

Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Vilevile, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametumia fursa hiyo kuihakikishia familia kwamba Serikali itaendelea kuwa pamoja nayo katika kipindi hiki chote cha majonzi.

Viongozi wengine waliokuwepo msibani hapo ni pamoja na Naibu Spika, Daniel Siro, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumisi wa Umma na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Toba Nguvila.

View attachment 3563120View attachment 3563121View attachment 3563123View attachment 3563124View attachment 3563125
View attachment 3563129
View attachment 3563129
Amuombee yeye, sisi tunawaombea walouwawa kwa maagizo ya Samia mo29.
 
Kumuombea mtu aliyekufa ni kupoteza muda, maombi hayo hayawezi kumfanya awe mtakatifu hata mngeomba mwaka mzima,
Maombi yanayokubalika ni kabla hajafa,
Once He breathed his last, No amount of prayer even if done by people with strong Spiritual muscles will make the deceased saint, let us stop misuse of prayers, Once you die your good or bad deeds always follows you,
 
DKT. MWIGULU: TUENDELEE KUMUOMBEA MHE. LUKUVI

WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba amewaomba Watanzania waendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu aliyekuwa Waziri Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, marehemu William Lukuvi aliyefariki jana Machi 25, 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma.

Akiongea kwa niaba ya Serikali nyumbani kwa marehemu Area D, jijini Dodoma leo, Alhamisi, Machi 26, 2026, Waziri Mkuu amesema: “Kwa niaba ya Serikali natoa pole kwa familia, ndugu, jamaa. Jambo hili zito, gumu kulielewa, gumu kulipokea.”

…Lakini ndio limeshatufika na sote hatukutarajia maana Mheshimiwa Waziri alikuwa kazini. Tuendelee kumuombea kwa Mwenyezi Mungu na kuifariji familia. Mwenyezi Mungu awaimarishe kwa sababu yeyé ndio mfariji mkuu,” amesisitiza.

Soma Pia: Waziri William Lukuvi (na Mbunge wa Isimani) afariki Dunia

Vilevile, Mheshimiwa Dkt. Mwigulu ametumia fursa hiyo kuihakikishia familia kwamba Serikali itaendelea kuwa pamoja nayo katika kipindi hiki chote cha majonzi.

Viongozi wengine waliokuwepo msibani hapo ni pamoja na Naibu Spika, Daniel Siro, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Muungano na Mazingira), Mhandisi Hamad Masauni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Menejimenti ya Utumisi wa Umma na Utawala Bora), Ridhiwani Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Toba Nguvila.

View attachment 3563120View attachment 3563121View attachment 3563123View attachment 3563124View attachment 3563125
View attachment 3563129
View attachment 3563129
Sisi tunaomba na mwingine juu zaidi afe nichinje mbuzi yeye anatuambia tumuombee waziri wa serikali ya wauaji?
 
UKIFA na lako halipo~~ Umri na Utumishi wake wa Miaka 31 ya Jimbo sio haba. Mungu kampenda zaidi acha apumzike Mzee Lukuvi sote tutapita.
 
Apaté anachokistahili, hakuna cha kuomba hapa, unalipwa ujira wako sahihi
 
WATANZANIA WOTE TUOMBEENI (SISI VIONGOZI)! Umekuwa wimbo wa Taifa!
Kama Marehemu hakutubu dhambi zake kingali yuko hai,hata dunia nzima ikimuombea haisaidii.
Badala ya "roho ya marehemu ilazwe mahali pema peponi, inalazwa upande wa pili".
Luka16:23-31
 
tumuombee ili iweje?
nani kasema maombi yana msaidia mtu akishafaliki?

mwigulu nae bana sijui ubongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom