Dkt. Mwigulu Nchemba, sera hizi zitakuangusha kisiasa - teta na Rais au jiuzulu

Jikite kwenye hoja acha kulialia
Ww ndio unalialia kuhusu huyo Mwigulu, ndio maana nimekuta umwagize huyo Mwigulu auze yale madini mnayosema tunayo mengi, ili asitufanyie double taxation kwenye simu, na kuanzisha tena hizo Bureau de change.
 
Inavyoonekana hizo rasilimali walishagawa kwa mabeberu na wachina, kwa sasa wanajipanga kugawa ardhi na bandari ambayo ni lango la nchi, ngozi nyeusi wana akili ya kizezeta sana...

Sasa dhalimu anaposifiwa kuwa amelinda raslimali zetu, ni zipi hizo?
 
Ndugu zangu,

Mdogo wangu Mwigulu Nchemba umetegwa na umetegeka.Kuna sera za masuala ya fedha ambazo katu mtu makini hawezi kufanya wewe unafanya ili upate umaarufu na sio kwa maslahi ya nchi.Kuna kundi limekuzingira linahitaji yafuatayo ambayo na wewe umeingia mkenge;...
Mpologomi na the late Mbilinyi
 
wapiga dili hampendi kulipa kodi. Mmezidi malalamiko.
Watapiga kelele mwezi huu afu watatulia tuliii.Waziri kazia hapo hapo tena bado kuna kodi kibao hujaanzosha.

Hawa watu ukiwaambia wadai risiti na kutoa risiti hawafanyi sasa Mwigulu anzisha kodi mpya itakayofidia hilo hap
 
Inavyoonekana hizo rasilimali walishagawa kwa mabeberu na wachina, kwa sasa wanajipanga kugawa ardhi na bandari ambayo ni lango la nchi, ngozi nyeusi wana akili ya kizezeta sana...
Una miliki hata mashine ya kusaga karanga kweli wewe?
 
Hujui kitu ndio maana unakimbilia kutoa povu badala ya hoja
Wenye akili za kimaskini siku zote wana utajiri uliokithiri wa chuki, fitina, husda, ubaguzi, choyo, roho mbaya na uchawi.
Hawapendi kuona wengine wakijikwamua kwa kutumia akili zao au ubunifu wao.
Mtu hajui chochote kuhusu uendeshaji wa kampuni, shirika, kiwanda au bureau de change lakini atajidai anajua kila kitu na kuita wenzake wapiga dili!
Shame on you low-thinkers!!

NB: Madelu hajawahi kufaa kwa chochote!
 
Ndugu zangu,

Mdogo wangu Mwigulu Nchemba umetegwa na umetegeka.Kuna sera za masuala ya fedha ambazo katu mtu makini hawezi kufanya wewe unafanya ili upate umaarufu na sio kwa maslahi ya nchi.Kuna kundi limekuzingira linahitaji yafuatayo ambayo na wewe umeingia mkenge;

Umepewa mtego kuwa na mamlaka ya kufuta Kodi kama waziri wa fedha; walio nyuma ya ajenda hii wakishanufaika wewe utatolewa kafara na "narratives" zitatengenezwa ili uongekane hufai kwa chochote kile.Mawaziri wa fedha waliowahi kuwa na nguvu hii waliangushwa kwa aibu.

Sasa umejiingiza kwenye mkenge wa "watakatishaji pesa" kupitia bureaux de change.Nimekuona unazungza lakini uso wako hauna furaha kabisa.

Kama ni shinikizo jiuzulu ili historia ije kujitetea laa sivyo hiza nene mbeleni.Teta na Rais au jiuzulu mapema.
JPM hakuruhusu misamaha ya kodi ila sasa Mh! nadhani umenena vyema
 
Ndugu zangu,

Mdogo wangu Mwigulu Nchemba umetegwa na umetegeka. Kuna sera za masuala ya fedha ambazo katu mtu makini hawezi kufanya wewe unafanya ili upate umaarufu na sio kwa maslahi ya nchi. Kuna kundi limekuzingira linahitaji yafuatayo ambayo na wewe umeingia mkenge;

Umepewa mtego kuwa na mamlaka ya kufuta Kodi kama waziri wa fedha; walio nyuma ya ajenda hii wakishanufaika wewe utatolewa kafara na "narratives" zitatengenezwa ili uongekane hufai kwa chochote kile. Mawaziri wa fedha waliowahi kuwa na nguvu hii waliangushwa kwa aibu.

Sasa umejiingiza kwenye mkenge wa "watakatishaji pesa" kupitia bureaux de change. Nimekuona unazungza lakini uso wako hauna furaha kabisa.

Kama ni shinikizo jiuzulu ili historia ije kujitetea laa sivyo hiza nene mbeleni. Teta na Rais au jiuzulu mapema.
Kwani nchi haina mifumo thabiti, ya utawala??
Mbona Tukidai katiba mpya mnapinga?
 
Sijaona ubaya wa kuruhusu bureau de change, tatizo lenu mwendazake aliwalisha sumu sana kwamba burea de change ni mbaya
 
Back
Top Bottom