Nkerejiwa
Senior Member
- Feb 25, 2014
- 146
- 214
View attachment 2804314
Mwigulu ameeleza kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ndo sababu ya CAG kama taasisi/ofisi kuongezewa bajeti zaidi ya 60% ya awali ili aweze fanya ukaguzi kila kona na kila angle.
Leo hii CAG wa Tanzania ndo mkaguzi pekee katika EAC ambae ana bajeti kubwa, na haijawahi tokea hili chini ya Waziri yeyote wa Fedha nchi hii!
Dr. Mwigulu anaingia katika list ya Mawaziri wachache wa Fedha ambao hawajatajwa popote katika CAG report wala PAC report kuhusika na ubadhirifu wa kitu chochote ndani ya nchi hii!
Mwigulu, ndo miongoni mwa waziri wachache wa Fedha nchi hii ambao wamewahi vutia mitaji mingi, financial capitals kuingia katika uchumi wetu na miradi ya kimkakati kwa masharti rafki na practical.
Hakuna wakati nchi hii report ya CAG yenyewe imewahi kukiri kwamba 90% y a Mapendekezo ya mkaguzi katika miradi ya maendeleo yamefanyiwa kazi na miradi imetekelezwa kwa wakati zaidi ya wakati huu.
Hakuna wakati nchi hii ripoti ya CAG na ile ya PAC zimewahi jadiliwa kwa uwazo wa namna hii.
Tanzania imekua nchi ya kwanza kuwa na hati safi ya mapitio (Review) toka IMF katika mikopo ya ECF kwa ukanda huu wa EAC.
Review hii ina maana kwamba, Mapato yote ya nje, mikopo na misaada (grants) vimetumika kama viliyokusudiwa.
Hivyo basi uimara wa ofisi ya CAG ni matokeo ya uimara wa uongozi wa Wizara ya Fedha kwa sababu;
1. Ndo parent Ministry na Bajeti inapatishiwa huko.
2. Kwa sababu utashi wa uongozi wa Wizara ndo unaeza determine uimara wa Taasisi ya CAG.
Hizi ndo roles Mwigulu ka play hadi leo tuna taasisi imara ya CAG yenye financial resources za kutosha kufanya wanachofanya.
Kwa mara nyingine ukweli umezishinda Propaganda za wabaya wake.