Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,174
- 17,635
MmhMakamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.
Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya kumsimika Askofu wa kwanza wa Jimbo la Bagamoyo. Ambapo amemuelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda, kuunda timu hiyo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka wizara yake, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Jimbo Katoliki la Bagamoyo.
"Timu hiyo ikae mezani na kanisa, kisha iwasilishe mapendekezo serikalini mara moja kwa ajili ya uamuzi," amesema.
Sijaelewa hapa, yaani Serikali inajilaani yenyewe, wonders shall never end, only in Tanganyika.Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.
Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya kumsimika Askofu wa kwanza wa Jimbo la Bagamoyo. Ambapo amemuelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda, kuunda timu hiyo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka wizara yake, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Jimbo Katoliki la Bagamoyo.
"Timu hiyo ikae mezani na kanisa, kisha iwasilishe mapendekezo serikalini mara moja kwa ajili ya uamuzi," amesema.
View attachment 3324477
mshukiwa analaaniMakamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.
Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya kumsimika Askofu wa kwanza wa Jimbo la Bagamoyo. Ambapo amemuelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda, kuunda timu hiyo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka wizara yake, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Jimbo Katoliki la Bagamoyo.
"Timu hiyo ikae mezani na kanisa, kisha iwasilishe mapendekezo serikalini mara moja kwa ajili ya uamuzi," amesema.
View attachment 3324477
Waache kulaani, watende haki.Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.
Dk Mpango ametoa agizo hilo leo, Jumapili Mei 4, 2025, katika hafla ya kumsimika Askofu wa kwanza wa Jimbo la Bagamoyo. Ambapo amemuelekeza Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof Adolf Mkenda, kuunda timu hiyo kwa kushirikiana na wataalamu kutoka wizara yake, Wizara ya Ardhi, Ofisi ya Rais Tamisemi na Jimbo Katoliki la Bagamoyo.
"Timu hiyo ikae mezani na kanisa, kisha iwasilishe mapendekezo serikalini mara moja kwa ajili ya uamuzi," amesema.
View attachment 3324477
Maajabu hayajawahi kuisha duniani.mshukiwa analaani
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ameagiza kuundwa kwa timu maalumu kushughulikia mgogoro wa muda mrefu wa ardhi kati ya Jimbo Katoliki la Morogoro na Chuo cha Aderm, akitaka suala hilo litafutiwe ufumbuzi wa kudumu.