TANZIA Dkt. Mleoh wa Wizara ya Afya afariki Dunia

TANZIA Dkt. Mleoh wa Wizara ya Afya afariki Dunia

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,683
Reaction score
272,541
Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya inaeleza kwamba Dkt. Liberate Mleoh alipata ajali akitokea Mkoani Songwe kwenye Mazishi ya Ofisa mwingine wa Wizara hiyo.

Namfahamu Marehemu, alikuwa Mtu Mwema, namuomba Mungu aipokee Roho yake, Amina!

Screenshot_2025-03-16-18-49-42-1.png
 
Chanzo cha ajali ni nini,
Ila madereva wengi wa serikali wako rough sana barabarani, huenda vifo vingi vinachangiwa na tabia hiyo
Kweli kabisa! Halafu hawawambii wapinguze mwendo! Kuna yule kichaa msafara wa ruto ametoka nje ya Barabara ameenda kumuua mzungu watu aliyekuwa kwa miguu! Takataka kabisa!
 
Back
Top Bottom