Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,449
- 283,760
- Thread starter
- #21
Taarifa ya Wizara haikusema lolote kuhusu derevaDereva wake yuko wapi !
Taarifa ya Wizara haikusema lolote kuhusu derevaDereva wake yuko wapi !
Ndio wanamaliza watu Kwa haraka zao aiseee🤔Wanaharaka boss kachoka anatakiwa kupumzika mapema
😀Kwenye huzuni umefanya nichekee mkuu,,Zile speed wanazokwenda nazo ingekuwa na Maendeleo yako vile ingekuwa tumewazidi Wachina.
Hakuna kitu uta waambia watakuelewaNdio wanamaliza watu Kwa haraka zao aiseee🤔
R.I.P Dr Liberate,Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya inaeleza kwamba Dkt Liberate Mleoh alipata ajali akitokea Mkoani Songwe kwenye Mazishi ya Ofisa mwingine wa Wizara hiyo.
Namfahamu Marehemu, alikuwa Mtu Mwema, Namuomba Mungu Aipokee Roho yake, Amina
View attachment 3273015
Ni huzuni🤔Hakuna kitu uta waambia watakuelewa
Hata Christopher Mtikila, hatukuambiwa dereva alikuwa nani!Taarifa ya Wizara haikusema lolote kuhusu dereva
Yule aliyekuwa Balozi wa nyumba kumi huko nje, aliyepata ajari akielekeo home SMOKE, alikuwa anajiedesha mwenyeweHata Christopher Mtikila, hatukuambiwa dereva alikuwa nani!
Taarifa ya wizara ni kavu mno!
Kwa kweli mwezi huu wa 3 kama unakitu vile...Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya inaeleza kwamba Dkt Liberate Mleoh alipata ajali akitokea Mkoani Songwe kwenye Mazishi ya Ofisa mwingine wa Wizara hiyo.
Namfahamu Marehemu, alikuwa Mtu Mwema, Namuomba Mungu Aipokee Roho yake, Amina
View attachment 3273015
Kwa hiyo usinge mfahamu usinge muombea malazi mema wacha ubaguzi!Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Afya inaeleza kwamba Dkt Liberate Mleoh alipata ajali akitokea Mkoani Songwe kwenye Mazishi ya Ofisa mwingine wa Wizara hiyo.
Namfahamu Marehemu, alikuwa Mtu Mwema, Namuomba Mungu Aipokee Roho yake, Amina
View attachment 3273015
Ningesema apumzike anapostahiliKwa hiyo usinge mfahamu usinge muombea malazi mema wacha ubaguzi!
Ndio Mkuu msiba tunakumbushana maisha sisi tuliohai.😀Kwenye huzuni umefanya nichekee mkuu,,
🙏🙏Ndio Mkuu msiba tunakumbushana maisha sisi tuliohai.
Tumshukuru Mungu na kutambua zawadi aliyotupa Mwenyezi Mungu.
CHADEMA wana matatizo sana. Wanaleta siasa hadi kwenye misibaKwa hiyo usinge mfahamu usinge muombea malazi mema wacha ubaguzi!