Dkt. Mashinji afika Kisutu kusikiliza kesi inayowakabili viongozi wa CHADEMA. Mdee agoma kumpa mkono, Wakili ajitoa kumtetea

What’s two-faced about shaking someone’s hand?
Will you shake hands with someone who cheat with your wife?? That's three faced... So Mdee's is two, got it!!
Masinzi ni muujumu uchumi na siasa kwa cdm acha mkono hastahili hata mguu
 
Kwani kuhama chama kunakatazwa? mbona Lowasa alihama kutoka CCM kwenda Chadema na baadaye alihama kutoka Chadema kwenda CCM, Lissu alihama chama kutoka NCCR mageuzi kwenda Chadema, Nyarandu alihama chama kutoka CCM kwenda Chadema, Zitto alihama chama kutoka Chadema kwenda ACT wazalendo. Je wote hao ni wasaliti? na je wakikutana na viongozi wa vyama walikotoka wasisalimiane nao? Huyu Mdee ni tatizo ameonyesha picha mbaya sana hasa ukizingatia Chadema ni chama cha demokrasia na kinajitabanaisha kuwa ni chama kinachofuata misingi ya haki na uhuru kwa kila mtu.
 
Nyani Ngabu
Halima alikuwa sahihi, huyu Mashinji ni 'snitch'' ukifuatilia uhamaji wake na jinsi alivyojidharaulisha
Kujidharaulisha si kuhama, bali kauli alizotoa na historia yake ya miaka 5 kama katibu mkuu wa chama cha upinzani, akiwa Dr wa taaluma na Falsafa. Too low! na sioni ajabu akiwa ''snitch''

Hoja kubwa ni ''snitch'' na alikuwa anawaendea wenzake kinyume, hakuna doubt

Pili, Mashinji anajua ana kinga ya Chama, uwepo wake mahakamani ni kutimiza ratiba hivyo alikuwa anawadhihaki
 
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji alivyoingia mahakamani Kisutu leo, Mbunge Halima Mdee akataa kumsalimia.

Mashinji na viongozi nane wa Chadema wanakabiliwa na mashtaka 13 yakiwamo ya kula njama, kufanya mikusanyiko na maandamano yasiyo halali na ya uchochezi wa uasi.

Update:
Wakati huohuo wakili John Mallya amejitoa kumtetea mshtakiwa namba 6 Dr Mashinji.

Credit :Mwananchi official

Soma: News Alert: - Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM
View attachment 1368151
Wakili kumtema mashinji kwenye utetezi hapo ndio ujue chadema ni kikundi tu kama freemason na sio chama cha siasa cha kidemokrasia. Ndio maana hawaendi kwa logic ila kwa hisia za kiongozi mwenye kupokea maelezo kwa mabeberu
 
Mdee anawivu sana


Tujulisheni faida za Maalim seif kumnyima Rais shein mkono
Maalimu akataa mkono.jpg
 
Back
Top Bottom