Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli: Nitastaafu Urais mwaka 2025 na kupisha wengine

Yaani kauli hii ndio iondoe kiwingu?
Misukule kweli mna kazi sana.
"Msemakweli ni mpenzi wa mungu" kuliwahi kuondoa uhalisia wa uongo?
"Maendeleo hayana vyama" kuliwahi kudhihirisha kuwa maendeleo ni ya wote?
 
Tatizo kiongozi wa bunge. Alisema "ATAKE ASITAKE" . Sasa hapo unawashangaaJe wananchi kuwa na hofu ?!.

Jambo jingine, kiongozi mzuri hutakiwi kusema Mimi nitakuwa kiongozi mpaka 2025. Wakati kazi yenyewe ni ya kuchaguliwa miongoni mwa wagombea wengine
 
Mwambieni hatumtaki hata sasa
 
Matumizi mabaya ya "my take"
 
Mitano inamtosha apumzike sasa
tatizo ni kwamba ameanzisha mambo mengi sana ambayo hakuna anaeweza kuimalizia zaidi yake yeye ukizingatia yeye ni mteule wa mungu (Sio Mungu). Baada ya mitano ijayo pengine atahitaji mitano zaidi ili Tanzania iwe nyuyoku.
 
Anajibu propaganda mfu za Lisu!
 
Kiongozi wa bunge ni nani? Kwani yeye ndio muamuzi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…