Nimemsikia ndugu Rais kila mara akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Kawe, Askofu Gwajima akisema kwamba wanakawe wamchague Gwajima kwa sababu ni mkweli.
Mtazamo huu wa Rais umenifanya niulize wafuatiliaji wa mambo, hapa jukwaani juu ya ukweli wa Gwajima.