Asaiv kaanza kutuma sms za promotion za ccm kwenye namba za watu kama zile za biko sport na 3 mzuka bila ridhaa zao..Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...
Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...
Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
Kwani Tundu Lisu anatumia nguvu ndogo?Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...
Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...
Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
Kwani Tundu Lisu anatumia nguvu ndogo?
hauna akiliKwani Tundu Lisu anatumia nguvu ndogo?
Hivi mnasimamia upande gani?? Nyie si ndo mnasema magu anafanya kampeni siku moja anapumzika wiki leo tena anatumia nguvu sana hahahahaaha mna wenge sana ni waite mashabiki wa chadema maana sio wapiga kura.Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...
Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...
Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
Ahahaha! Acha afundishwe adabu huyu msukuma. Alikuwa anajisikia Sana. Tutoesomo kwake.Asaiv kaanza kutuma sms za promotion za ccm kwenye namba za watu kama zile za biko sport na 3 mzuka bila ridhaa zao..
.....Mzee anatapatapa sana, Si alidai hapangiwi na mitandaoni alisemaga hakuna wapiga kura ni watu wa porojo tu, lakini asaiv Twitter na Local network providers wamekua muhimu kwake
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...
Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...
Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....
Akili yako hujaitumia vizuri. Matumizi ya nguvu na mapumziko ys mara kwa mara mbona haviingiliani?Hivi mnasimamia upande gani?? Nyie si ndo mnasema magu anafanya kampeni siku moja anapumzika wiki leo tena anatumia nguvu sana hahahahaaha mna wenge sana ni waite mashabiki wa chadema maana sio wapiga kura.
Kwani Tundu Lisu anatumia nguvu ndogo?
Hivi mnasimamia upande gani?? Nyie si ndo mnasema magu anafanya kampeni siku moja anapumzika wiki leo tena anatumia nguvu sana hahahahaaha mna wenge sana ni waite mashabiki wa chadema maana sio wapiga kura.
Hakuna ushetani Hatari kama ule ujinga wa kule majimboni kuwa miccm imepita bila kupingwa, kupita bila kupingwa kwa njia haramu za kishetani ndiyo kitu kibaya zaidi Duniani kwani mtu atakuwa mbunge pasipo ridhaa ya wapiga kura anaenda Bungeni kuwakilisha nani? hawakumchagua anaenda kuwakilisha NECCCM Tumeccm na aina hii ya wabunge ndiyo hupitisha mikataba mibovu kwa kura za ndiyoo ndiyo na wengine huwa kimya wakivuna posho kisha kurudi nyumbani kulala , wabunge wa kupita bila kupingwa ndiyo wabunge wanaotumika kuhujumu wapinzani wakiwa BungeniWafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...