Dkt. Magufuli anatumia nguvu kubwa mnoo kukampeni

Soma madam uelewe anatumia nguvu zake kivipi kuwashawishi wapiga kura?

Mabango mpaka kwenye vyoo vya stand amechafua Kila mahali.

Haki huinua TAIFA
Sema chadema sasa hamna hela, uchaguzi wa 2015 mabango ya chadema yalizagaa nchi nzima hadi hapa kuwa na sehemu ya kubandika tukawa tunafungia maandazi,sasa wewe mama umeolewa juzi na kutimiza miaka 18 hujuwi ilikuwaje ulipokuwa na 13 yrs.
 
Kwani Tundu Lisu anatumia nguvu ndogo?
Bwashee Lissu hajanunua bombadia wala airbus, Lissu hajajenga SGR wala flyover

Bwashee huyu Lissu hajajenga hata sentimita moja ya lami

Huyu Lissu hana bango hata moja nchini nashangaa wananchi wanamfata, huyu Lissu itakua ana nguvu za giza tumchunguze
 
Kweli sisi CCM hali ni mbaya kwenye hizi kampeni tuseme ukweli kama tume itakuwa huru Lissu atashinda mapema,sisi CCM tunanunua watu kujaza malori tunawapa buku 5000 au 10,000 kujaza uwanja halafu kampeni zikiisha watu wanaenda kwenye kampeni za lissu hizo hizo hela wanazopata kwetu wanaenda tena kuchangia buku buku kwenye kampeni za chadema
Umenena vema ila kumbuka wakati wa Mungu ndiyo wakati ulio bora sana na hauwezi kupingwa na yeyote yule Mbinguni na Duniani.
 
Back
Top Bottom