MAGO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,256
- 2,975
Wafuasi wa CCM kinywani huamini kwamba JPM kagusa maisha ya waTZ kwa kusaidia kuboresha maisha yao, ila mioyoni huona kabisa maisha ya mTZ yamekosa uelekeo ndani ya kipindi kifupi...
Kudhihirisha hilo nguvu inayotumika kupiga kampeni za JPM ni kubwa mnoo haireflect kabisa kukubalika kwake, kuanzia mabango, kutumia wasanii wote TZ, kuhujumu kampeni za vyama vingine, kuengua wagombea wa upinzani baadhi ya majimbo...
Kwa ninayoona endapo uchaguzi utakuwa huru na haki JPM hakika kura hazitatosha na wanajua hilo....