Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

Aliyeongoza mashambulizi ya Lisu, kuuawa Azory, Ben etc ndiye anachochea fujo na wote wanamjua na juzi Lisu kamtaja wazi wazi
Hebu peleka ujinga wako, lissu amekuwa wa kwanza kunadi vurugu, na kwa uwezo wa mungu tarehe 28 tutashinda na amani itaendelea kutawala....
Chaguo langu ni Magufuli
 
Watapata RUZUKU
KURA ZA UBUNGE NA URAISI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA JIMBONI, HAZITAHESABIWA KWENYE VITUO VYA KUPIGIA KURA

KURA ZA UDIWANI ZITASAFIRISHWA KWENDA KUHESABIWA MAKAO MAKUU YA KATA (KATANI)

WAPINZANI HAMPATI KITU.

KUWENI MAKINI
 
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA
Hii ni kweli kabisa kwani nchi isipokuwa na amani mambo mengi yanasimama na shughuli za maendeleo hivyo tunapaswa kuwa makini sana kuepuka vurugu zote.
 
We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Atasamehewa kwa makosa yote lakini siyo kwa mauaji na kupoteza watu. Namshangaa sana anapomtaja Mungu. Mungu hashikamani na wauaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA
KURA YANGU KWA HERUFI KUBWA NI YA MAGUFULI KABISA
 
WhatsApp Image 2020-10-21 at 14.48.23.jpeg
 
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Magufuli amesema anataka kuongoza nchi kwa amani.
Amewataka watanzania kuwa makini na wanasiasa wanaowachochea wafanye fujo baada ya uchaguzi kwa kuwa pasipo na amani hakuna chochote kinachoweza kufanyika. Aliyasema hayo alipokuwa anafanya mkutano wa kampeni mjini Karatu.

Ndugu mtanzania, mpenda maendeleo, ili tudumishe Amani yetu tunahitaji kiongozi sahihi mwenye kujali maslahi ya Mtanzania na rasilimali zake, mwenye hofu ya mungu, muajibikaji na mtekelezaji.
Tafadhali tuungane pamoja Jumatano Oktoba 28, Tukapige kura na tukamchague Rais ambae ataendelea kusimamia na kuzitetea rasilimali zetu.

DKT. JOHN POMBE MAGUFULI, CHAGUO SAHIHI KWA WATANZANIA
Kwenye maelezo yake yote naona ameliruka neno HAKI, kwanini? Nani amemdanganya AMANI inapatikana kwa kutisha watu badala ya kuhakikisha uwepo wa HAKI? Tuna Rais wa ajabu mno haijapata kutokea.
 
Nimemtaja nani? Sijamtaja mtu! All in all, by necessary implication ni yeye! Kwanini alimnyima hela za matibabu, kwanini alimfukuza ubunge?
Huyo jamaa yenu sheria za bunge ndo zilimuondoa ubunge afu msilalamike wekeni sera kwa wananchi sio kulaumu tu watanzania wanataka sera za matumaini kwao.
 
Nimemtaja nani? Sijamtaja mtu! All in all, by necessary implication ni yeye! Kwanini alimnyima hela za matibabu, kwanini alimfukuza ubunge?

Ulikuwepo bwana wewe? Nasikitika baadhi ya watanzania wamechotwa na ulaghai wa lissu!ila niwaambie tu lissu hatokaa kupigania taifa hili lissu amegombea kwa
Personal interest za kwake!na sio taifa ! Na ndio maana jana amekiri kuwa na tiketi ya kuondoka mara tu baada ya uchaguzi!
 
We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Huyo ni kiuno cha pweza kweli aiseee,MAGUFULI ANALETA MAENDELEO YEYE AMEKAZANIA UONGO TUU.

Nachukia upotoshwaji wa hawa mbwa wa kipinzani mimi aiseee.

Magufuli ndio Raisi wetu 2020-2025
 
Back
Top Bottom