Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli akemea wanasiasa wanaochochea fujo

Nimemtaja nani? Sijamtaja mtu! All in all, by necessary implication ni yeye! Kwanini alimnyima hela za matibabu, kwanini alimfukuza ubunge?
Hivi sababu zilivyokua zinawekwa wazi juuu yake kusimama ubunge hukufatilia au unatapika tuu uonekane umeongea.

Hakika Mazuri ya mhe.Magufuli ni mengi sana kiukweli mimi nina mengi ya kushuhudia ila upinzani wa hawa panya wachache unapotosha umma.Na aibu yao itatokea baada ya 28 juma tano aiseee
 
Hivi nani anatafuta fujo?
Hamna aibu mnafundisha watoto wakapige kura feki. Na watu mnaopokea hela kufanya huu ujinga wazungu wakiwaita nyani mnalalamika, mtu mzima unapokea vi laki kadhaa unaenda kuuza nchi yako unasahau shida zote unazopitia miaka mitano, alafu tunakuj kuwapa wazungu lawama. Lawama huku kura feki tunaenda kupiga wenyewe tena tunajua kabisa kua ni feki kisa umelipwa vielfu kadhaa vya soda siku mbili tatu, akili za waafrika zimenishinda aisee, bongo sirudi ni stress tu kudeal na nyani wengi namna hii

Yaani wewe kumuona Magufuli mungu wako basi unataka wote wawe kama wewe..?

Pumbavu mbona mmeo ameshindwa kujibu hoja ya WASIOJULIKANA.?? wewe ndio unamjibia
Dr.Magufuli kupitia serikali ya CCM amefanya mazuri mengi kwa kuwalenga watanzania wote Hivyo
ndugu jamaa na marafiki naomba tumpe kura oktoba28 ili apate kuyaendeleza yale mazuri kwetu.

Usifanye makosa katika 28/10/2020
 
Hivi kwanini CCM wote neno "HAKI" kwao limekua neno gumu kutamkwa hadharani?
 
We kila siku maneno yako ni haya haya ya kipumbavu kila inapowekwa komenti yoyote inayomuhusu mhe Rais Magufuli, kwani we ulimuona ameshika bunduki anamlenga huyo kichaa mwenzenu!!? Unakera sana weye ng'ombe.
Acha kujitoa akili,ili iwe faida kwa wazazi na familia yako.
 
Hivi nani anatafuta fujo?
Hamna aibu mnafundisha watoto wakapige kura feki. Na watu mnaopokea hela kufanya huu ujinga wazungu wakiwaita nyani mnalalamika, mtu mzima unapokea vi laki kadhaa unaenda kuuza nchi yako unasahau shida zote unazopitia miaka mitano, alafu tunakuj kuwapa wazungu lawama. Lawama huku kura feki tunaenda kupiga wenyewe tena tunajua kabisa kua ni feki kisa umelipwa vielfu kadhaa vya soda siku mbili tatu, akili za waafrika zimenishinda aisee, bongo sirudi ni stress tu kudeal na nyani wengi namna hii

Sasa wazungu wanaingiaje hapa mjomba au unalambwa na hao wazungu hahahaha pole najua uwaga unakuwa kama mbwa wa mzungu pole sana
 
Hivi nani anatafuta fujo?
Hamna aibu mnafundisha watoto wakapige kura feki. Na watu mnaopokea hela kufanya huu ujinga wazungu wakiwaita nyani mnalalamika, mtu mzima unapokea vi laki kadhaa unaenda kuuza nchi yako unasahau shida zote unazopitia miaka mitano, alafu tunakuj kuwapa wazungu lawama. Lawama huku kura feki tunaenda kupiga wenyewe tena tunajua kabisa kua ni feki kisa umelipwa vielfu kadhaa vya soda siku mbili tatu, akili za waafrika zimenishinda aisee, bongo sirudi ni stress tu kudeal na nyani wengi namna hii

Haya ndio yatakayotupatia KURA na sio hujuma hizo zenu,mnataka mshindwe muingie mtaani,aiseee tunasema karibuni ila kitakachowakuta mtajilaumu sana.

Hhahahha mabomu ya machozi mtakufa nayo.
IMG-20201025-WA0002.jpg
IMG-20201025-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom