Dkt Magufuli abuni style ya kutumbua "MAJIPU MAALUM"

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,056
10,721
Kwa majipu yote yaliyoota mbaya/nyeti mwilini, Mheshimiwa magufuli anayatumbua kwa style ya "WATAPANGIWA KAZI NYINGINE"!

My take;

Mheshimiwa Raisi aache double standard.
Wembe ulionyolea JUMA basi huohuo na kwa kiwango kilekile umnyolee JOHN!
 
Back
Top Bottom