Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

Maneno yako sahihi hata mimi nilimuangalia
kwa jicho la tatu baada ya kuona interview yake na kuwa na ujasiri wa kutaka kununua nyumba kulikuwa kuna kitu alitaka taifa liwe antetion ili mpate ukweli wake pia maisha yake aliyoishi hapa tz niya ki kikomandoo
 
Dr. Louis Shika Kid?
Kwanini anaitwa Kid? ni jina lake ? Code yake? nani alimpa Jina hilo? natumaini sio jina la Ukoo hilo!
Mshana Jr! Good! ila bado mahojiano aliyoyafanya yameleta maswali mengi kuliko majibu!
Inanikumbusha wale usalama wa taifa wa Julius Nyerere! wengi walikuwaga wanajifananisha na machizi au walevi hohehaheeee!
Umenikumbusha mzee flani alikuwa akiishi Tegeta, jina Karau, yule mzee alijifanya chizi muda wote lkn alikuwa anajua ratiba zote za rais, akisema Mkapa atakuwepo mahali flan saa flani, ndivyo itakavyokuwa
 
Kwanza nimpe pole kamanda wa polisi aliyemu underrate Dr Shika kwamba hana thamani hata ya million... Hawa ndio makamanda wetu wenye dhamana kubwa ya kutulinda.... Tungesema sisi wa mitandaoni isingekuwa shida sana maana huku tuko mix grille, wajuzi na wajuvi wa kila jambo.. Kamanda hakujihangaisha kabisa kupata habari za huyu mtu kabla hajatoa taarifa yake mbele ya kamera.... Kumbe mtu aliyemdharau ni viwango vingine kabisa.. Mazoea yale yale ya kuwaamini wasaidizi na bila kujiridhisha na taarifa zao
Dr Shika ni mtu zaidi ya tunavyomfahamu, kaeleza machache kabaki na mengi, lakini machache aliyoasema yametosha kumchora picha yake halisi katika uhalisia wake..... Twende na dondoo zifuatazo

1. Masomoni Urusi na kuanzisha biashara kubwa
Achana na scholarship za siku hizi za kupeana... Wakati ule ukienda kusoma/kusomeshwa nje... Wewe ni cream... Historia inaonesha Dr Shika alikuwa vizuri sana kichwani tangu sekondari.... Na kwa vyovyote huko Urusi alifanya vizuri pia kitu kilichowavutia wengi...
Ni baada ya kumaliza masomo yake hakurudi nchini bali alibaki Urusi na kuanzisha biashara kubwa, yeye pamoja na washirika wengine ambao asili ya kukutana kwao haiwekwi wazi... Dr. Shika yeye ndio akawa rais wa kampuni kubwa yenye mtandao wa makampuni mengi.. Mafanikio ya haraka ya kampuni hii yaliwagutua warusi na kuanza kumdukua

2. Mafanikio ya kampuni na kumiliki mali nyingi
Kampuni yao hiyo bila kujulikana kwa hakika shughuli zao hasa ikawa ni kampuni inayokuwa kwa haraka mpaka kuwa na uwezo wa kumiliki ndege binafsi... Hapa warusi wakashtukia mchezo kuwa pengine hawa watu ni undercover informers wa wamarekani, na hii kampuni ni zuga tuu... Janja hii hutumiwa na mataifa mengi... Dr. Shika inapofikia hapa huwa na kigugumizi kidogo na bahati mbaya hatuna waandishi wanaojua kuhoji

3. Kuwindwa kutekwa na mateso
Dr. Hapa kuna kitu kikubwa sana anakificha.. Aliliwa timing ya muda mrefu mpaka alipokamatwa nyumbani kwake.. Inawezekana kabisa nyumba ilishakaguliwa yote.... Lakini pia style ya kuondoka naye wakiwa wamemfungia kwenye kabati maana yake huyu hakuwa mtu wa kawaida
Kwa maelezo yake alipelekwa mpaka nje ya mji Kwenye nyumba yenye chumba cha siri chini ya ardhi na kuanza kuteswa, kwa madai kwamba watekaji walitaka pesa kiasi cha USD million moja... Dr hapa pia kasema uongo kuna kitu anaficha pia... Kwa utekaje huo watekaji wangetaka awapigie simu jamaa zake wakate mpunga (ransom).. Lakini Dr Shika anakiri kwamba alitekwa na kuteswa na the professionals toka KGB- shirika la kijasusi la Urusi... Kwa mateso yale hawa walikuwa wanamlainisha aseme yeye ni nani hasa.. Amekuwa mlemavu wa vidole vitano vya mikono.. Mkono mmoja viwili, mmoja vitatu, amevunjwa mbavu tano, na sikio moja limepindishwa kwasasa ya makofi... Majambazi wanaotaka hela hawana mateso ya namna hii.. Haya ni mateso ili ufunguke.. Roma anajua vema..

4. Ujasiri, uvumilivu na utulivu
Dr ana viashiria vyote vya majasusi, pamoja na mateso yote hayo na kujeruhiwa vibaya kabisa lakini hakupaniki wala kukata tamaa alikuwa mtulivu jasiri akisuburi one mistake one goal... Na akajenga nao urafiki yani hakuwa kiburi, unateswa unatukanwa unadhalilishwa unaumizwa lakini baada ya hapo unaenda nao sawa... Hii kitu ina mafunzo maalum.. Dr. Alikuwa mtulivu na mvumilivu mpaka akaweza kutoroka akiwa hoi kabisa...

5. Kutoroka kwake kunaacha maswali mengi, kwanini alibebwa na ndege maalum ya malkia wa uholanzi? Je ilikuwaje? Ni nani walifanikisha hii mipango? Kwanini mmarekani alitoa msaada mkubwa kwake mpaka akaweza kufika nchini salama? Je KGB walikuwa sahihi? Je alifanikiwa kuficha siri kuu ndio maana wamarekani hawakumtupa hata sasa?

6. Vifo vya washirika wake kwenye kampuni
Wenzake karibia wote walikufa kwa kuuwawa.. Yeye kaponea shimo la tewa (kuna maswali mengi sana kwenye hili..... Kampuni lao bado lipo lakini limesimamisha shughuli zake.. Wamarekani wanamsaidia Dr Shika kupata pesa zake! Kaamua kuishi nyuma ya wakati.... Osama alitumia hii mbinu kwa mafanikio makubwa.. Dr kaamua ku act low profile na kujitenga kabisa na harakati za dunia.....

ITAENDELEA........
Hii story ni 900 kabisa..
 
Dr ni hatari
1. Usimwangalie aliyelala......
2. Ukimwona nyoka hatari bonyeza kidole kwenye kitovu chako.....
3. Minya kende (mapumbu) mbwa mkali hatakubwekea.......

Hii ni mambo ya asili; nakumbuka primary tulikuwa tunaminya kende wakati wa penarti ikipigwa isiingie. Kuna muda unaminya maumivu makali na penarti inaingia - unapata double pain.

Dr. We ni noma
 
This is JF
 
Umeipata wapi hii story? Fabricated?

Maana mara atakuja mtu atuambie Dr. Shika ni time traveller... mwengie aseme Dr. Shika kwao Asgard...

Kwa mashiko yepi tukuamini?

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom