Dkt. Kipilimba, sasa yatosha!

Tanzania tumeandikiwa barua mpaka siku mbili kabla ya ndege kwenda South Africa, tukaambiwa ndege ikienda itashikiliwa.

Hapo huhitaji kazi kubwa ya Usalama wa Taifa.

Ni uzembe uliotukuka.
 
Dharau ilitoka kwa Jiwe ukite Ramaphosa alimhakikishia hiyo hali haitatokea
Jiwe ana dharau sana na ndo maana hata acacia wametushinda kwenye majadiliano
Tanzania tumeandikiwa barua mpaka siku mbili kabla ya ndege kwenda South Africa, tukaambiwa ndege ikienda itashikiliwa.

Hapo huhitaji kazi kubwa ya Usalama wa Taifa.

Ni uzembe uliotukuka.
 
Tanzania tumeandikiwa barua mpaka siku mbili kabla ya ndege kwenda South Africa, tukaambiwa ndege ikienda itashikiliwa.

Hapo huhitaji kazi kubwa ya Usalama wa Taifa wala nini.

Ni uzembe uliotukuka.
Kumbe taarifa/notisi ya mahakama ilishafika katika madawati ya wakubwa. Kuna mbuzi wa kafara ashapatikana!
 
Kwa hiyo TISS ya Kitine na Kombe haikuwa na hao vijana wa UVCCM?. Mabosi wa hao vijana wa CCM hawakuwa ni wana-CCM?.

Unao ujumbe mzuri na wenye kueleweka, umeharibu mwishoni ulipoamua kuingiza masuala ya kisiasa.

Mabadiliko ya fikra ndio tofauti kuu iliyopo kati ya TISS ya wakati ule chini ya wale vigogo wa ccm dhidi ya hawa. Wao walikuwa na fikra za utaifa na maslahi ya taifa yalikuwa priority number one. Wa sasa hivi priority yao whether ni kwa makusudi au kuzidiwa, ni kulinda maslahi ya ccm. Kwa ufupi taasisi imekuwa overly politicised kuzidi wakati wowote ule katika historia ya utawala wa Tanzania kama taifa huru.. Na kwa ajili hiyo aibu hizi zinatupata mchana kweupeeee!!!! Na taifa limegawanyika kihisia.

Kwa siku zijazo na kama zitakuwepo na ikiwa utashi utaruhusu, kwa maslahi mapana ya taifa, idara hii na zinginezo zingetengwa mbali kabisa na harakati za kisiasa. Zibakie kwenye jukumu lao la msingi la kulinda usalama wa taifa, raia na mipaka yake pasipokuangalia chama chochote cha siasa ama uso wa mtu yeyote yule.
 
Idara Kama CIA, Mossad,MI5, na FSB wangemzima Bashite bila Rais kujua,TISS haina magwiji wa ujasusi ni vilaza watupu wamejaa humo.
Enzi za Nyerere TISS, ilikuwa na magwiji wa ujasusi kupindukia
Hapo sasa ndiyo walipofeli. TISS ya ukweli ilipaswa kuwa imekwisha mfanyia 'operesheni' Bashite na angekuwa history kufika leo. Huyu Bashite ameibagaza sana Taasisi utadhani haina wataalamu

But you never know lisemwalo lipo.
 
Yule mwenye shati la kitenge kashika bangi ndio YEHODAYA au jina lingine hidaya,nimeona wakudavadua,etwege,motochini,wakiwa na mabango yao huku sura zao zikionyesha wamechapika kimaisha,ccm woyee dawa ya deni ni kulipa
 
Kama mmeshindwa kumkamata kigogo hadi leo, jamaa anawatesa hadi najisikia aibu, sembuse iwe mleta mada.

Mtapoambiwa ukweli jaribuni kukubali.
Hapo pa kumkamata Kigogo 2014 yule wa Twitter ni pagumu. Kwa taarifa anazo share kwenye twitter anaonekana kuwa Kigogo siyo mtu mmoja bali ni watu wengi wenye mamlaka na ambao ni wazalendo wa kweli ndani ya TISS.

Ukiacha ile 'rogue group' niliyoiongelea kabla then kuna hiki kikundi cha wakereketwa kinachoitwa Kigogo 2014. Usijali nani ana miliki akaunti bali angalia taarifa wanazotoa na muda wanaotoa. Ni wazalendo na hawapendi namna nchi inavyo endeshwa na 'rogue group'.

Kigogo siyo mtu mdogo wala mtu mmoja. Inawezekana hata mara nyingine wnaposema wanamsaka unaweza kukuta anayetamka kuwa wanamsaka naye ni member wa Kigogo.
 
Kabisa mkuu.


Usikute hajui vizuri CV za aliyemtaja kwamba ni kama cyber expert.
 
Ndio itabidi wakamate mmoja wa miliki wa akaunti hiyo, kama mliweza kumkamata wa tanga giza why not kigogo2014?
 
Ndio itabidi wakamate mmoja wa miliki wa akaunti hiyo, kama mliweza kumkamata wa tanga giza why not kigogo2014?
Kama una akaunti twitter utanielewa. Wale ambao akaunti zao zimewekwa tick wako verified unaweza ukawapata. Ambaye hayuko verified huwezi kumpata. Unapofungua akaunti Twitter wala haikudai uweke email yako kama inavyotaka FaceBook.

Hii inaoperate kama JF tu unatengeneza username na password tu. Kwenye IT business security ya wateja ndiyo mtaji mkubwa. TWITTER hawawezi ku reveal particulars za members wao hata siku moja.
 
Sasa hivi kuna vijana wadogo wakiangalia filamu na kusoma vitabu vya habari za ujasusi na intelijensia wanadhani wanajua hayo mambo kuliko wenye fani yao, kuliko waliofunzwa wakahitimu na kuutumia ujuzi wao huko 'field'.

Ujuaji mwingi huku hali halisi hawajui kitu. Wakisoma au kuona jujuu tu yaliyo chujwa(filtered) basi wanadhani wamejua kila kitu.
 
Movie za kiintelijensia zimewapoteza vijana wengi, hawajui watanzania wanalala usingizi mzuri 24/7 hawajui vijana wako makazini kuhakikisha nchi yetu inakuwa na amani iliyonayo leo hii.
 
Shame on you,don't think all days are Monday
 

Umeliweka hili vizuri sana...thanks..Watanzania baadhi yetu tuna tabia ya ajabu sana...tunapenda kushutumu tu kila kitu...tunajifanya wajuaji sana kumbe hatujui chochote ...Hivi wanafikiri JPM anajuaje uozo kule bandarini, Airport, TRA, polisi wa dhahabu, matatizo kadhaa magerezani, makinikia kama siyo kupitia taarifa za TISS??? Kwa maoni yangu TISS hivi sasa inafanya kazi nzuri na taarifa zake zinapitiwa na hatua kuchukuliwa kuliko wakati mwingine wowote ule labda kuzidiwa tu na kipindi cha Mwalimu...TISS ni kweli inaweza ikawa na mapungufu yake katika baadhi ya maeneo, lakini ni taasisi ipi haina mapungufu...je, wanadhani CIA, Mosad na kadhalika hazina mapungufu???
 
Uimara wao uko hapo na huishia hapo tu kumtafuta pythagoras na kumtesa na kumteka.

shame on them.
Hizo zilikuwa enzi za ujima!

Taasisi za kisasa za intelijensia zinajikita na intelligence za kijeshi, kiuchumi, kiteknolojia, na propaganda za kimataifa!

Ni watanganyika hawa anyways. Tusisahau hilo.
 
Sisi uvccm tule wapi
 
Movie za kiintelijensia zimewapoteza vijana wengi, hawajui watanzania wanalala usingizi mzuri 24/7 hawajui vijana wako makazini kuhakikisha nchi yetu inakuwa na amani iliyonayo leo hii.
Kibaya zaidi wanadhani wanajua recruitment and grooming ya watu wa idara inafanyika vipi.

Huenda wamekaririshwa na watu waliopitia idara zamani. Kwani hawaoni mabadiliko ya recruitment process hata idara za kawaida za serikali haipo kama zamani?

Kama kuajiri mtu wa kada za kawaida kumeboreshwa sasa serikali au idara ya usalama wa taifa itakuwa wazembe kiasi gani kutofanya mabadiliko na kuendelea kutumia njia za zamani zisizo bora na kisasa?

Ina maana huko idarani na serikali kuna watu wasiojua kitu au hawana akili na yeye huku mtaani ndio ana akili nyingi sana kuliko wote waliopo serikalini?

Anataka waje hapa kutoa ufafanuzi jinsi wanavyo ajiri, walivyo chukua hatua mbalimbali kwenye matukio tofauti? Sasa hiyo itakuwa idara ya usalama wa taifa au kitengo cha uenezi cha chama au cha serikali?!!!

Tuwaache hawa watu wafanye kazi zao na tushukuru kwa kazi zao tunapata muda wa kutafuta pesa ya bundle na kuwatukana mitandaoni.
 
Ubarikiwe sana kuna mambo mengine inabidi ukae kimya tu siku ziende, kwa kuwaibia sasa hivi vijana wako vizuri mno tofouti na miaka ya nyuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…