source za ubunge unazifahamu lakini?Yale yale ya vijana jiajirini, huku yeye kakimbilia ubunge
UNA KAZAWADI KAKO... 😌Lazima tufanye root cause analysis. Mfumo wa elimu yetu ni mbovu....tuanzie hapo.
Mbona yeye ni Dr. Kimei na amefanikiwa? Elimu yetu iwe inafundisha life skills na independent thinking. Graduate anafanya interview - akiulizwa swali utadhani ni text book! Kukaririshwa na kupasi mtihani siyo elimu.
Una degree ya Mining Engineering basi unarudi kuwa mhadhiri na hata hujapitia kozi ya ualimu. Hivyo 'Pedagogy skills unazitoa wapi?
Hell to the No!Yule mtoto wa Kimei alifunga ndoa hivi karibuni sidhani kuwa ni fundi seremala, mwashi au makenika.
Waanze wao wawe mfano. Kipindi ambacho hawako Bungeni wakiwa Majimboni wavae mauvaroli wayafanyie matengenezo magari yao.Hell to the No!
sio harusi ya fundi makenika ile...
ilikuwa ni kufuru!
Wanataka watoto wao wakarithi mikoba CRDB na Bungeni halafu watoto wetu wakasomee kupiga plasta za nyumba za watoto wao?
Mention themsource za ubunge unazifahamu lakini?
Endelea kushupaza shingo...uhangaike MTT afike Chuo kwa kuunga unga anamaliza hakuna kazi hapo ndio utaelewa music wake unaumaje ...acheni mizaha kwenye ishu serious upigane na we uondoe ukapuku kwenye ukoo kuanzia huko kwenye ufundi au whatever hata Ndugai ana haso au miba yake aliyopitia mpaka kuwa pale sasa we umezuiwa na nn?Waanze wao wawe mfano. Kipindi ambachi hawako Bungeni wakiwa Majimboni wavae mauvaroli wayafanyie matengenezo magari yao.
Tukifanya rejea vyuo vifuatavyo enzi za mwalimu zilitoa elimu ngazi ya cheti na diplomaMhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda.
Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake.
Badala yake watoto wasomee "ujuzi" kama vile ufundi simu na umakenika, wanasema Kimei na Ndugai.
Najua mtoto mmoja wa Ndugai alimleta bungeni akasema anasomea udaktari China. Wa Kimei sijui.
Ningependa kujua, watoto wao waliwasomesha ufundi simu?
Au mnataka tu kuingiza mikenge watoto wa watu ili wawatengenezee watoto wenu system charge za simu zao?
Sawa kabisa, form four aende ufundi umeme badala ya form fiveMimi naona Mzee Kimei yupo sahihi.
Kule darasani wafundishwe pia ufundi.
Mtoto akitoka form 4.awe anaweza hata kufunga umeme, kushika mwiko.na hata awe na idea ya ufundi wa magari.hata akifeli akishindwa kwenda form 5 na wazazi hawana hela anaweza kujiajiri.
Wa-tanzania naomba sana wamsikilize Mh. Kimei anajua nachokiongea, huyu hajawahi kuwa mwanasiasa. Ana practical ya kila anachokisema. Bora watu watoe hoja kuwa hawamwelewi ili atoe ufafanuzi zaidi, lakini siyo kumpinga. Naomba sana kwenye Bunge hili hii miaka mitano, tumsikilize kwa makini sana huyu mtu kila anachoongeaMhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda.
Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake.
Badala yake watoto wasomee "ujuzi" kama vile ufundi simu na umakenika, wanasema Kimei na Ndugai.
Najua mtoto mmoja wa Ndugai alimleta bungeni akasema anasomea udaktari China. Wa Kimei sijui.
Ningependa kujua, watoto wao waliwasomesha ufundi simu?
Au mnataka tu kuingiza mikenge watoto wa watu ili wawatengenezee watoto wenu system charge za simu zao?