Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

Taso

JF-Expert Member
Jun 12, 2010
2,445
2,268
Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda.

Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake.

Badala yake watoto wasomee "ujuzi" kama vile ufundi simu na umakenika, wanasema Kimei na Ndugai.

Najua mtoto mmoja wa Ndugai alimleta bungeni akasema anasomea udaktari China. wa Kimei sijui.

Ningependa kujua, watoto wao waliwasomesha ufundi simu?

Au mnataka tu kuingiza mikenge watoto wa watu ili wawatengenezee watoto wenu system charge za simu zao?

Alikuwa na point. What is the use 7 yrs Primary School+6 yrs Secondary School+ 2-5 yrs tertiary education. Na chuoni mtu anasoma BA Caltural Heritage, B.A Tourism, BA. Linguistics and the likes. Anakuja mtaani hakuna ajira anaishia kuwa boda BODA, kondakta wa basi.

Matumizi mabaya ya muda na rasilimali akili.

Maoni yangu:
1. Mfumo wa elimu urekebishwe miaka ipunguzwe i.e primary school 5 yrs secondary 3 to 4 yrs, e.t.c
2. Mkazo uwe kwenye vyuo vya kati. Basically middle income economy kwa kiasi kikubwa inaendesha na mafundi mchundo na mafundi sanity.
 
Lazima tufanye root cause analysis. Mfumo wa elimu yetu ni mbovu. Tuanzie hapo.

Mbona yeye ni Dr. Kimei na amefanikiwa? Elimu yetu iwe inafundisha life skills na independent thinking. Graduate anafanya interview - akiulizwa swali utadhani ni text book! Kukaririshwa na kupasi mtihani siyo elimu.

Una degree ya Mining Engineering basi unarudi kuwa mhadhiri na hata hujapitia kozi ya ualimu. Hivyo 'Pedagogy skills unazitoa wapi?
 
Lazima tufanye root cause analysis. Mfumo wa elimu yetu ni mbovu....tuanzie hapo.

Mbona yeye ni Dr. Kimei na amefanikiwa? Elimu yetu iwe inafundisha life skills na independent thinking. Graduate anafanya interview - akiulizwa swali utadhani ni text book! Kukaririshwa na kupasi mtihani siyo elimu.

Una degree ya Mining Engineering basi unarudi kuwa mhadhiri na hata hujapitia kozi ya ualimu. Hivyo 'Pedagogy skills unazitoa wapi?
UNA KAZAWADI KAKO... 😌
 
Sasa
Waanze wao wawe mfano. Kipindi ambachi hawako Bungeni wakiwa Majimboni wavae mauvaroli wayafanyie matengenezo magari yao.
Endelea kushupaza shingo...uhangaike MTT afike Chuo kwa kuunga unga anamaliza hakuna kazi hapo ndio utaelewa music wake unaumaje ...acheni mizaha kwenye ishu serious upigane na we uondoe ukapuku kwenye ukoo kuanzia huko kwenye ufundi au whatever hata Ndugai ana haso au miba yake aliyopitia mpaka kuwa pale sasa we umezuiwa na nn?
 
Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda.

Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake.

Badala yake watoto wasomee "ujuzi" kama vile ufundi simu na umakenika, wanasema Kimei na Ndugai.

Najua mtoto mmoja wa Ndugai alimleta bungeni akasema anasomea udaktari China. Wa Kimei sijui.

Ningependa kujua, watoto wao waliwasomesha ufundi simu?

Au mnataka tu kuingiza mikenge watoto wa watu ili wawatengenezee watoto wenu system charge za simu zao?
Tukifanya rejea vyuo vifuatavyo enzi za mwalimu zilitoa elimu ngazi ya cheti na diploma
  • Chuo cha ufundi Arusha
  • Chuo cha ufundi Dar es Salaam
  • Chuo cha ufundi Mbeya (Enzi za Mwinyi)
  • Dar es Salaam School of Accountancy (DSA) now Tanzania Institute of Accountancy
  • IDM Mzumbe
  • IFM
  • CBE
  • IAA.
Wahitimu wa vyuo hivyo walikuwa na mchango mkubwa kwenye fani zao katika maeneo ya kazi tofauti na wahitimu wa degree wa sasa. Sweden nao wanadhamini sana kuandaa nguvu kazi kwa elimu ya ngati ya Diploma na siyo Degree
 
Mimi naona Mzee Kimei yupo sahihi.

Kule darasani wafundishwe pia ufundi.

Mtoto akitoka form 4.awe anaweza hata kufunga umeme, kushika mwiko.na hata awe na idea ya ufundi wa magari.hata akifeli akishindwa kwenda form 5 na wazazi hawana hela anaweza kujiajiri.
Sawa kabisa, form four aende ufundi umeme badala ya form five

Ninachotaka kujua, mtoto wa Kimei alienda ufundi umeme ?
 
Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda.

Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake.

Badala yake watoto wasomee "ujuzi" kama vile ufundi simu na umakenika, wanasema Kimei na Ndugai.

Najua mtoto mmoja wa Ndugai alimleta bungeni akasema anasomea udaktari China. Wa Kimei sijui.

Ningependa kujua, watoto wao waliwasomesha ufundi simu?

Au mnataka tu kuingiza mikenge watoto wa watu ili wawatengenezee watoto wenu system charge za simu zao?
Wa-tanzania naomba sana wamsikilize Mh. Kimei anajua nachokiongea, huyu hajawahi kuwa mwanasiasa. Ana practical ya kila anachokisema. Bora watu watoe hoja kuwa hawamwelewi ili atoe ufafanuzi zaidi, lakini siyo kumpinga. Naomba sana kwenye Bunge hili hii miaka mitano, tumsikilize kwa makini sana huyu mtu kila anachoongea
 
24 Reactions
Reply
Back
Top Bottom