Mhe. Kimei, Mbunge wa Vunjo, amekosoa vikali mazoea ya kutukuza elimu ya "ma degree na ma PhD," akidai yanapotezea watoto muda.
Hoja iliyoungwa mkono kwa nguvu na Spika Ndugai aliyelitaka bunge limsikilize Kimei kwa makini, na akamwongezea muda arudie na asisitize hoja yake.
Badala yake watoto wasomee "ujuzi" kama vile ufundi simu na umakenika, wanasema Kimei na Ndugai.
Najua mtoto mmoja wa Ndugai alimleta bungeni akasema anasomea udaktari China. wa Kimei sijui.
Ningependa kujua, watoto wao waliwasomesha ufundi simu?
Au mnataka tu kuingiza mikenge watoto wa watu ili wawatengenezee watoto wenu system charge za simu zao?