Dkt. Kimei na Spika Ndugai, watoto wenu mliwasomesha ufundi simu?

Duuuuu!

Unaona sasa ?

Bachelors UK

Masters USA

Yeye mwenyewe Kimei ana PhD

Sisi Chakubangas of the world ndio watoto wetu tukasomee ku flashi na kubadilisha system charge za Tecno
Hahaaa eti chakubangas
Screenshot_20210205-091731_1.jpg
 
Alikuwa na point. What is the use 7 yrs Primary School+6 yrs Secondary School+ 2-5 yrs tertiary education. Na chuoni mtu anasoma BA Caltural Heritage, B.A Tourism, BA. Linguistics and the likes. Anakuja mtaani hakuna ajira anaishia kuwa boda BODA, kondakta wa basi.

Matumizi mabaya ya muda na rasilimali akili.

Maoni yangu:
1. Mfumo wa elimu urekebishwe miaka ipunguzwe i.e primary school 5 yrs secondary 3 to 4 yrs, e.t.c
2. Mkazo uwe kwenye vyuo vya kati. Basically middle income economy kwa kiasi kikubwa inaendesha na mafundi mchundo na mafundi sanity.
Kweli kabisa, tulipoteza miaka ming sana skuli asee,
 
Wa-tanzania naomba sana wamsikilize Mh. Kimei anajua nachokiongea, huyu hajawahi kuwa mwanasiasa. Ana practical ya kila anachokisema. Bora watu watoe hoja kuwa hawamwelewi ili atoe ufafanuzi zaidi, lakini siyo kumpinga. Naomba sana kwenye Bunge hili hii miaka mitano, tumsikilize kwa makini sana huyu mtu kila anachoongea

Kimei "ana practical" maana yake nini, ameona jinsi CRDB walivyonufaika na mafundi simu ?

Mzee ni heartless and selfish. Eti degree ni mambo ya kizamani?

Ya kizamani ?

Kale kabinti kake kenye degree ya UK na nyingine USA ni mzee wa zamani yule?????
 
kimei kashauri hivi kwa kuwa mtoto wa maskini akitoka huko ni rahisi kwa yeye angalau kujiajiri
elimu hii iliyojaa theory anatoka huko na vitu kichwani sehemu ya practice hamna au kuipata ni baada ya mda mrefu
kuendelea kukaza shingo na kulinganisha na watt wake sidhan kama ni sawa maana wana added adv tena kubwa tu
 
Duuuuu!

Unaona sasa ?

Bachelors UK

Masters USA

Yeye mwenyewe Kimei ana PhD

Sisi Chakubangas of the world ndio watoto wetu tukawasomesheb ku flashi simu na kubadilisha system charge...
Ukitaka kumtawala maskini mnyime elimu, wamefan8ikiwa, sasa wanachofuata ni kutupeleka VETA wakati wao wanakwenda ulaya.
 
kimei kashauri hivi kwa kuwa mtoto wa maskini akitoka huko ni rahisi kwa yeye angalau kujiajiri
elimu hii iliyojaa theory anatoka huko na vitu kichwani sehemu ya practice hamna au kuipata ni baada ya mda mrefu
kuendelea kukaza shingo na kulinganisha na watt wake sidhan kama ni sawa maana wana added adv tena kubwa tu
mwanafunzi anasoma VETA ufundi magri akija maani hata kufunga weipa hajui.
 
Hiyo picha haipo. Hajaingia Bungeni kwa ajili ya kutafuta maisha, ameingia kwa ajli ya kuwatumikia watu maskini anaoona wanahitaji mchango wake katika maisha yao. Kwa hiyo hana haja ya kutumia zindiko kupata Ubunge kwa sababu maisha tayari anayo. Anachohitjai kwa sasa ni ku-share na watu maskini, kile kidogo cha kwake alichonacho akiongezea na kile atakachokuwa anapata kupitia kwenye ubunge
makanyaga najua wewe ni mchaga , na ni MATAGA, hujui sababu ya Kimei kutumbuliwa CRDB na kupewa Mhaya/wa Biharamulo ndugu Abdul Majid, mengine hayasemwi ila usitake kujua
 
makanyaga najua wewe ni mchaga , na ni MATAGA, hujui sababu ya Kimei kutumbuliwa CRDB na kupewa Mhaya/wa Biharamulo ndugu Abdul Majid, mengine hayasemwi ila usitake kujua
Kastaafu hajatumbuliwa. Mimi kwetu Machame halafu huyo yeye ni Mrombo. Sasa mimi nina shida gani naye kuanza kumsifu bila sababu ya msingi?
 
Kila shule iwe technical school Kama IYUNGA,ifunda , TANGA tech,mtwara tech nakadhalika

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
Huwezi linganisha Iyunga Tech na Ifunda Tech banaa... Enzi za Tech School tano tu NCHI nzima zenye vifaa vya kiufundi vyenye akili huwezi linganisha na hizi za baadaye... Kuna technical school tano tu zilizokuwa na akili kwa maananya equipments za kufundishia... Tanga Tech, Mtwara Tech, Ifunda aTech, Moshi Tech na Mazengo Dodoma.... hizinyingine ni majina tu lakini hawana vifaa hitajika kwa UKAMILIFU wake
 
Back
Top Bottom