Dkt. Kikwete Amfungukia Mambo Mazito Diamond Platnumz.

Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,202
2,000
Msanii wa Muziki Diamond Platnumz aeleza walichozungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mrisho Kikwete nyumbani kwake.
accc.jpg

Diamond amesema kuwa alimuuliza kuwa ni kweli mmedondoka? baada ya msanii huyo kudobndoka na Rayvanny wakiwa stejini akiwa Sumbawanga.

"Nilipokuwa Mwanza niliambiwa ananitafuta akanipigia akaniuliza maswali nasikia eti mmedondoka nikamwambia situation ilivyokuwa na tulikuwa hatujaonana muda mrefu na Mzee Kikwete nikamwambia nikirudi Dar ntakuja nikuone baba," amesema Diamond Nairobi.

"Nilivyorudi nikaenda kuonana naye na nilivyoonana nae kuna vitu akanisihi akaniambia kwanza nioe umri umefika, kuna clip moja tulikuwa tuko na Tanasha tunahesabu hela akaniambia sio vizuri kuna watu hawana hata riziki kwahiyo mtu akiiona anajisikia vibaya."
Screenshot_2018-12-27-18-16-22-1.jpg
 
kina kirefu

JF-Expert Member
Dec 14, 2018
3,630
2,000
Msanii wa Muziki Diamond Platnumz aeleza walichozungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mrisho Kikwete nyumbani kwake. View attachment 979016

Diamond amesema kuwa alimuuliza kuwa ni kweli mmedondoka? baada ya msanii huyo kudobndoka na Rayvanny wakiwa stejini akiwa Sumbawanga.

"Nilipokuwa Mwanza niliambiwa ananitafuta akanipigia akaniuliza maswali nasikia eti mmedondoka nikamwambia situation ilivyokuwa na tulikuwa hatujaonana muda mrefu na Mzee Kikwete nikamwambia nikirudi Dar ntakuja nikuone baba," amesema Diamond Nairobi.

"Nilivyorudi nikaenda kuonana naye na nilivyoonana nae kuna vitu akanisihi akaniambia kwanza nioe umri umefika, kuna clip moja tulikuwa tuko na Tanasha tunahesabu hela akaniambia sio vizuri kuna watu hawana hata riziki kwahiyo mtu akiiona anajisikia vibaya." View attachment 979017
Pole yake kama bado hajaariji wataalam/wabobezi kwenye hiyo taalama kuhusu ushauri....ahakikishe anabakia namafanikio milele hizo picha Tayari hazifutiki pengine
 
relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
2,700
2,000
Msanii wa Muziki Diamond Platnumz aeleza walichozungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mrisho Kikwete nyumbani kwake. View attachment 979016

Diamond amesema kuwa alimuuliza kuwa ni kweli mmedondoka? baada ya msanii huyo kudobndoka na Rayvanny wakiwa stejini akiwa Sumbawanga.

"Nilipokuwa Mwanza niliambiwa ananitafuta akanipigia akaniuliza maswali nasikia eti mmedondoka nikamwambia situation ilivyokuwa na tulikuwa hatujaonana muda mrefu na Mzee Kikwete nikamwambia nikirudi Dar ntakuja nikuone baba," amesema Diamond Nairobi.

"Nilivyorudi nikaenda kuonana naye na nilivyoonana nae kuna vitu akanisihi akaniambia kwanza nioe umri umefika, kuna clip moja tulikuwa tuko na Tanasha tunahesabu hela akaniambia sio vizuri kuna watu hawana hata riziki kwahiyo mtu akiiona anajisikia vibaya." View attachment 979017
Huyu Mzee ana maneno ya busara sana na nadhani Uislam wake una siri nzito sana juu ya maisha ya mwanadamu,nitajifunza niuelewe hekima zake.
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
4,202
2,000
Mzee Kikwete sipingi ana maamuzi ya busara na ushauri wa kutoka moyoni kwa watu. Na kama mtu akikupa ushauri na ukaufata, hakika haupotei njia. Mimi ni mfuasi wa busara zake.

Ila katika maisha yetu, sisi wanyonge/wakulima wa korosho/walimu/wastaafu/wafanya biashara/wapinzani/wasanii/waandishi wa habari/madereva (Nliemsahau mnikumbushe) tunalia na wewe kwa haya maamuzi uliotufanyia 2015.

Mungu anakuona mzee, sijui tulikukosea wapi mzee wetu wewe, mpaka ukatuadhibu na hii adhabu kali sana.

Ulituacha tunakula milo miwili kwa siku, nchi ikiwa na amani. tuliona tujikaze kisabuni, na tukajua ikifika asubuhi/pakipambazuka tutaliona jua na hakika tutafikia malengo yetu, malengo yetu yalikua ni kula milo mitatu tu kwa siku, na wala sio malengo makubwa ya kupanda ndege au treni za umeme.

Ila kumepambazuka, na kweli jua tumeliona, ila kilicho tusibu kimefuta na kuua ndoto zetu zote tulizokua nazo. Badala ya kutafuta mlo wa tatu, sasa tumerudi hatua kadhaa nyuma, na sasa tunakula mlo mmoja, mlo wapili ni kitendawili kisichokua na MAJIBU. Swala la amani nalo ni kitenzi-kishirikishi kwenye ishu ya mlo, tunaamka asubuhi bila kuijua jioni yetu itafika vipi (Kama ni central au mahakamani).

Nikipata nauli kama Platinum, au lifti ya magari makubwa, ntakuja kijijini kukusalimia.
 
lendanai

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
315
250
Msanii wa Muziki Diamond Platnumz aeleza walichozungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mrisho Kikwete nyumbani kwake. View attachment 979016

Diamond amesema kuwa alimuuliza kuwa ni kweli mmedondoka? baada ya msanii huyo kudobndoka na Rayvanny wakiwa stejini akiwa Sumbawanga.

"Nilipokuwa Mwanza niliambiwa ananitafuta akanipigia akaniuliza maswali nasikia eti mmedondoka nikamwambia situation ilivyokuwa na tulikuwa hatujaonana muda mrefu na Mzee Kikwete nikamwambia nikirudi Dar ntakuja nikuone baba," amesema Diamond Nairobi.

"Nilivyorudi nikaenda kuonana naye na nilivyoonana nae kuna vitu akanisihi akaniambia kwanza nioe umri umefika, kuna clip moja tulikuwa tuko na Tanasha tunahesabu hela akaniambia sio vizuri kuna watu hawana hata riziki kwahiyo mtu akiiona anajisikia vibaya." View attachment 979017
Ddr kikwete kaona kitu kwako,bro imekuwa player ssana,pili unatuaminisha kuwa mziki ni uhuni ndio maana uoi unawavua tu watot wa watu vichup unawatema,muige Nikki wa pili,majuu kina JAY Z hata hapa bongo Mr blue,mkuuu uko vzur ila uhuni umekushinda tabia
 
lendanai

JF-Expert Member
Oct 19, 2014
315
250
Mzee Kikwete sipingi ana maamuzi ya busara na ushauri wa kutoka moyoni kwa watu. Na kama mtu akikupa ushauri na ukaufata, hakika haupotei njia. Mimi ni mfuasi wa busara zake.

Ila katika maisha yetu, sisi wanyonge/wakulima wa korosho/walimu/wastaafu/wafanya biashara/wapinzani/wasanii/waandishi wa habari/madereva (Nliemsahau mnikumbushe) tunalia na wewe kwa haya maamuzi uliotufanyia 2015.

Mungu anakuona mzee, sijui tulikukosea wapi mzee wetu wewe, mpaka ukatuadhibu na hii adhabu kali sana.

Ulituacha tunakula milo miwili kwa siku, nchi ikiwa na amani. tuliona tujikaze kisabuni, na tukajua ikifika asubuhi/pakipambazuka tutaliona jua na hakika tutafikia malengo yetu, malengo yetu yalikua ni kula milo mitatu tu kwa siku, na wala sio malengo makubwa ya kupanda ndege au treni za umeme.

Ila kumepambazuka, na weli jua tumeliona, ila kilicho tusibu kimefuta na kuua ndoto zetu zote tulizokua nazo. Badala ya kutafuta mlo wa tatu, sasa tumerudi hatua kadhaa nyuma, na sasa tunakula mlo mmoja, mlo wapili ni kitendawili kisichokua na MAJIBU. Swala la amani nalo ni kitenzi-kishirikishi kwenye ishu ya mlo, tunaamka asubuhi bila kuijua jioni yetu.

Nikipata nauli kama Platinum, au lifti ya magari makubwa, ntakuja kijijini kukusalimia.
Hahahahaaaaa Aaaaa, mkuuu kipindi chake kimeisha,tuko na mzeee wa ukweli mtupu,wenye akili wanajua tofauti ya JK NA JPM ila kama ujasoma political science basi.....mute tu kimya
 
la magica

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
1,460
2,000
Mzee Kikwete sipingi ana maamuzi ya busara na ushauri wa kutoka moyoni kwa watu. Na kama mtu akikupa ushauri na ukaufata, hakika haupotei njia. Mimi ni mfuasi wa busara zake.

Ila katika maisha yetu, sisi wanyonge/wakulima wa korosho/walimu/wastaafu/wafanya biashara/wapinzani/wasanii/waandishi wa habari/madereva (Nliemsahau mnikumbushe) tunalia na wewe kwa haya maamuzi uliotufanyia 2015.

Mungu anakuona mzee, sijui tulikukosea wapi mzee wetu wewe, mpaka ukatuadhibu na hii adhabu kali sana.

Ulituacha tunakula milo miwili kwa siku, nchi ikiwa na amani. tuliona tujikaze kisabuni, na tukajua ikifika asubuhi/pakipambazuka tutaliona jua na hakika tutafikia malengo yetu, malengo yetu yalikua ni kula milo mitatu tu kwa siku, na wala sio malengo makubwa ya kupanda ndege au treni za umeme.

Ila kumepambazuka, na weli jua tumeliona, ila kilicho tusibu kimefuta na kuua ndoto zetu zote tulizokua nazo. Badala ya kutafuta mlo wa tatu, sasa tumerudi hatua kadhaa nyuma, na sasa tunakula mlo mmoja, mlo wapili ni kitendawili kisichokua na MAJIBU. Swala la amani nalo ni kitenzi-kishirikishi kwenye ishu ya mlo, tunaamka asubuhi bila kuijua jioni yetu.

Nikipata nauli kama Platinum, au lifti ya magari makubwa, ntakuja kijijini kukusalimia.
😅😅😅😅😅
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,696
2,000
Msanii wa Muziki Diamond Platnumz aeleza walichozungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Dkt. Mrisho Kikwete nyumbani kwake. View attachment 979016

Diamond amesema kuwa alimuuliza kuwa ni kweli mmedondoka? baada ya msanii huyo kudobndoka na Rayvanny wakiwa stejini akiwa Sumbawanga.

"Nilipokuwa Mwanza niliambiwa ananitafuta akanipigia akaniuliza maswali nasikia eti mmedondoka nikamwambia situation ilivyokuwa na tulikuwa hatujaonana muda mrefu na Mzee Kikwete nikamwambia nikirudi Dar ntakuja nikuone baba," amesema Diamond Nairobi.

"Nilivyorudi nikaenda kuonana naye na nilivyoonana nae kuna vitu akanisihi akaniambia kwanza nioe umri umefika, kuna clip moja tulikuwa tuko na Tanasha tunahesabu hela akaniambia sio vizuri kuna watu hawana hata riziki kwahiyo mtu akiiona anajisikia vibaya." View attachment 979017
Huyu mzee naye tumemchoka. Alikuwa rais akatupeleka kusikojulikana kama meli inayosombwa na mawimbi halafu anajifanya kuwa mlezi njaa wa mambo yasiyomsaidia mtanzania.
 
ccm mtoto wao

JF-Expert Member
Dec 19, 2018
562
500
Mzee Kikwete sipingi ana maamuzi ya busara na ushauri wa kutoka moyoni kwa watu. Na kama mtu akikupa ushauri na ukaufata, hakika haupotei njia. Mimi ni mfuasi wa busara zake.

Ila katika maisha yetu, sisi wanyonge/wakulima wa korosho/walimu/wastaafu/wafanya biashara/wapinzani/wasanii/waandishi wa habari/madereva (Nliemsahau mnikumbushe) tunalia na wewe kwa haya maamuzi uliotufanyia 2015.

Mungu anakuona mzee, sijui tulikukosea wapi mzee wetu wewe, mpaka ukatuadhibu na hii adhabu kali sana.

Ulituacha tunakula milo miwili kwa siku, nchi ikiwa na amani. tuliona tujikaze kisabuni, na tukajua ikifika asubuhi/pakipambazuka tutaliona jua na hakika tutafikia malengo yetu, malengo yetu yalikua ni kula milo mitatu tu kwa siku, na wala sio malengo makubwa ya kupanda ndege au treni za umeme.

Ila kumepambazuka, na weli jua tumeliona, ila kilicho tusibu kimefuta na kuua ndoto zetu zote tulizokua nazo. Badala ya kutafuta mlo wa tatu, sasa tumerudi hatua kadhaa nyuma, na sasa tunakula mlo mmoja, mlo wapili ni kitendawili kisichokua na MAJIBU. Swala la amani nalo ni kitenzi-kishirikishi kwenye ishu ya mlo, tunaamka asubuhi bila kuijua jioni yetu.

Nikipata nauli kama Platinum, au lifti ya magari makubwa, ntakuja kijijini kukusalimia.
Umeongea kwa hisia mpka umeugusa moyo wang
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
24,303
2,000
Mambo mazito??? Ndo hayo ya kuambiwa kuoa? Na kutohesabu hela?

Click bait.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom