Hivi hawa watu wataacha lini uhuni? kwanini hawataki kujifunza kitu? Ni vyema wakawa watu wa kusali na kuomba hekima na busara ziwatale ili waweze kuchagua maneno ya kusema.
Huyu mwanamke hana kabisa akili, hata dikteta Magufuli pia mlisema hivyo hivyo hadi akashindwa kutawala muhula wake wa pili baada ya kuhujumu uchaguzi.
Sasa mmeanza tena kujipendekeza kwa huyu mama baada ya kuona maisha yamekuwa magumu mtafikiri nyie ndio mnatoa uhai. Bure kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.