Dkt. Kigwangalla: Rais Samia anaendelea mpaka mwaka 2030, watakaompinga kukiona

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.

Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

20210614_164219.jpg
 
View attachment 1818634
Mnafiq sana huyu Mzee wa makafara,bado anaugua ugonjwa wa kuukosa uwaziri.
 
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634

Kamuulize mwenda kuzimu
 
Hivi hawa watu huwa wanakula nini wakienda Bungeni?
Kweli unapanga maisha na roho na nafsi hizi hizi ambazo hazina mkataba

Yaani akili wanaziacha mlangoni wakirudi home wanasali tena
 
Back
Top Bottom