Dkt. Kigwangalla: Rais Samia anaendelea mpaka mwaka 2030, watakaompinga kukiona

HIVI HUYU KWELI NI DAKTARI? ALISHAAJIRIWA KAMA DAKTARI? NA UTUMISHI WAKE ALIFANYIA WAPI? MBONA KAMA SIELEWI HIVI ? NAWAHESHIMU SANA MADAKTARI LAKINI KWA HUYU LOH!
 
Huyu ndugu anapenda madaraka sana tena Kwa kujipendekeza ,

Mbona wengi wetu hatuna hayo madaraka na tunaishi vizuri tu.

Hakika nitamkataza mwanangu kusoma masomo ya sayansi.
 
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634

Mnyamwezi mjinga kuliko wote.Ulimtetea Mwendazake na sasa unajikomba kwa mama.Hupati kitu.
 
Mbunge wa Nzega vijijini Dkt Hamis Kigwangalla leo wakati anachangia hotuba ya bajeti kuu ya serikali amesema rais Samia anatakiwa kupita bila kupingwa mwaka 2025 ili aendelee mpaka 2030.
Kigwangalla amesema atakayejaribu kumpinga ndani ya ccm na hata nje atakiona cha mtema kuni hasa ikizingatiwa kuwa Chadema walishatangaza kuwa hawatashiriki uchaguzi mkuu wa 2025 hivyo Lisu kuendelea kulelewa Ubelgiji.

View attachment 1818634

Tutampinga ndani ya CCM na nje ya CCM
 
Na wewe utaendelea kuwa shoger hadi mwaka gani??
 
Kigwangala bado anaota,ubunge wenyewe hawezi kuipata tena, maccm yameshamtoa kwenye mfumo,lakini yeye hajitambui.
 
Kigwangala hii ni nin?
Lazima ulazimishe uteuzi??

Aibu sana
Mwenda zake alipewa kwa Kura yeye kapewa kwa njia gani? Hebu tuacheni ushabiki katika mambo muhimu ya Nchi! Mwenzake alishindanishwa na wenzie katika Chama mbona Kigwangala hataki ashindanishwe? Hivi nuyu mama watu mumeridhika achukue madaraka kinyemela tu bila ridhaa ya wananchi?
 
Back
Top Bottom