Dkt. Kigwangalla kugombea Uspika, atachukua fomu CCM kesho

Chizi tu ndiye atakayempa KIGWANGALLAH Uwaziri. Jamaa mpambe nuksi hata zaidi ya BASHITE ! Mnafiki hatari. Atamkana hata mama yake mzazi na hata kumuua akiambiwa achagua kati ya mama na madaraka !

Mbaya zaidi KIGWA ni mshirikina hatari. Sitashangaa keshaua hata itu sita ardua kwenye baraza..... !
Nakumbuka alipopata ajali watu badala ya kumpa yeye pole walimpatia dreva wake
 
Vichekesho hivi mwnaaharakati kuwà spika sema wanataka wavaa kobazi acha agombee tu

USSR
Wakristo kumbe kweli mna chuki kuu na Waislamu,mbona Waislamu nawaona hawana chuki na nyinyi kabisa,aisee Nchi ya ajabu hii,kwaiyo mnataka Madaraka mshike nyie yote
 
He's Totally Unfit For That Post; 'Is This A Joke Or Not A Joke' !!??
 
Huko CCM watu wameisha mpaka kumfikiria Kigwangala kuwa Spika?
 
Hua namuona kama mtu mwenye utoto mwingi,anavistori vyake facebook vyakitoto toto sana
Umewahi kukutana naye ana kwa ana ukaongea naye? Yaani utashangaa sana hata hao wanaompa nafasi mbambali huyo bwanà!!
 
Ni taarifa za hivi karibuni kabisa kutoka kwa watu walio karibu na mbunge wa Nzega vijijini, Dkt. Kigwangalla.

Taarifa zinasema Kigwangalla atachukua fomu kesho pale Dodoma na tayari Wabunge wengi wameonyesha kumuunga mkono.

Je, atapita?......... Ngoja tuone!
Labda uspika wa kuongoza wachawi huko nzega
 
Back
Top Bottom