Dkt. Kigwangalla kugombea Uspika, atachukua fomu CCM kesho

Bora tunaanza kupumzika na threads za Riz na Nape, Maana watoto wa marehemu machozi yalianza kuwaisha! Sasa ni mwendo wa Uchaguzi wa Spika hadi tarehe 1 Feb! Kuwa Mwanasiasa TZ raha sana, Watanzania ukiwatupia mfupa mpya wanasahau kila kitu, Na wapinzani wetu tunawasomba humo humo!
Kwahiyo una enjoy kuwafanya watanzania maduanzi, sio?

Riziwani ni muuzaji wa madawa ya kulevya! Hilo haliwezi kufutika, kila mtu anajua.

Lakini hata tukiendelea kumjadili huyo muuza madawa itasaidia nini?

Endelea kurusha mifupa tu, si umeajirwa kwa kazi hiyo! Usipoifanya utakufa njaa. Endelea kuwakinga wanasiasa. Ndio kazi yako hiyo mrusha mifupa.
 
Chizi tu ndiye atakayempa KIGWANGALLAH Uwaziri. Jamaa mpambe nuksi hata zaidi ya BASHITE ! Mnafiki hatari. Atamkana hata mama yake mzazi na hata kumuua akiambiwa achagua kati ya mama na madaraka !

Mbaya zaidi KIGWA ni mshirikina hatari. Sitashangaa keshaua hata itu sita ardua kwenye baraza..... !
 
Ni taarifa za hivi karibuni kabisa kutoka kwa watu walio karibu na mbunge wa Nzega vijijini Dr Kigwangalla.

Taarifa zinasema Kigwangalla atachukua fomu kesho pale Dodoma na tayari Wabunge wengi wameonyesha kumuunga mkono.

Je, atapita?.........ngoja tuone!
Anafaa sana !

Pichani akisindikizwa na wapambe wake kwenda kuchukua fomu

Watu%20wameanza%20kufukua%20makaburi%20_joy__joy__joy_%20kosa%20la%20%20%40hamisi_kigwangalla%...jpg
 
Uchaguzi ungeishia kwenye 'pati kokasi' maana bunje ni patikokasi yenye wazamiaji 19 wasiofahamika chama!!
Wengine Bunje hatuna taimu nalo haya liongozwe na mwehu hatulijali halina positive impact sana linakula mahela tuu! Ingefaa Liwe linakutana kwa video conferencing tuu ili pia Dom mabnt wasipotee
 
Ni taarifa za hivi karibuni kabisa kutoka kwa watu walio karibu na mbunge wa Nzega vijijini, Dkt. Kigwangalla.

Taarifa zinasema Kigwangalla atachukua fomu kesho pale Dodoma na tayari Wabunge wengi wameonyesha kumuunga mkono.

Je, atapita?......... Ngoja tuone!
Ni haki yake sioni tatizo
 
Kwahiyo una enjoy kuwafanya watanzania maduanzi, sio?

Riziwani ni muuzaji wa madawa ya kulevya! Hilo haliwezi kufutika, kila mtu anajua.

Lakini hata tukiendelea kumjadili huyo muuza madawa itasaidia nini?

Endelea kurusha mifupa tu, si umeajirwa kwa kazi hiyo! Usipoifanya utakufa njaa. Endelea kuwakinga wanasiasa. Ndio kazi yako hiyo mrusha mifupa.
Kama ni muuza madawa ya kulevya mnashindwa nini kumshitaki na kufungwa?
 
Back
Top Bottom